Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Kwa nini uliconclude ni pepo na sio roho mtakatifu?Mchungaji alipokua akiomba nilishuhudia muumini mmoja ninaemjua akiongea kiingereza fasaha wakati namjua kabisa hajuagi kiingereza.
Maana yake pepo la kizungu lilipanda.hii sio chai Ni kweli kabisa.