Vituko kutoka kwenye Makanisa ya Kilokole -Tupia chako

Mchungaji alipokua akiomba nilishuhudia muumini mmoja ninaemjua akiongea kiingereza fasaha wakati namjua kabisa hajuagi kiingereza.
Maana yake pepo la kizungu lilipanda.hii sio chai Ni kweli kabisa.
Kwa nini uliconclude ni pepo na sio roho mtakatifu?
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hii mbona km chai mkuu
Live hii mkuu,yule baba alikuwa na hasira kweli ile siku,alishaongea na mkewe kachoka ,yule baba alishamwambia mkewe awe anaenda kanisani siku tatu tu za wiki jumapili,jumatano,na ijumaa hataki,mwanamke alikuwa yuko radhi kutalikiana na mumewe kuliko kuacha kwenda kanisani,na yule baba alikuwa hataki kuachana na yule mwanamke!
 
Sasa huku mbeya , kuna familia imeanzisha kanisa lao wenyewe yan wamejenga kanisa kubwaaaa hatari ingawa wameezeka nusu afu idadi nadhani hawafiki hata kumi na tano lkn wamefunga maspika makubwa yan humo ndani no kelele tu sasa najiuliza c waongee tu bil mic maana wamekaa mabenchi mawili tu
 
Makelele ni sababu moja wapo iliyonifanya nisivutiwe na haya makanisa, ibada zaidi ya masaa 6 ukitoka hapo kichwa kinauma.
.
.
Watakuja hapa kusema nina pepo.
 
Hili linanikumbusha nchini Rwanda, Rais Kagame alianza kuregulate haya makanisa watu walimwona mbaya. Haya makanisa ni hatari sana kwa ustawi wa jamii. Serikali yetu laizima ifuatilie makanisa haya na kuona mahubiri yake na maudhui yanatoa kwa jamii. Churches must be regulated from structure, qualifications of the clerics and aim.
 
Mbeya sehemu gani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…