Vituko ndani ya JamiiForums

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halaf sisi wengine tukiandika za kuudhi wala hatujibu vibaya mzigua sasa akiandika hata kawaida woiiii anakoma
Naona alifungua ile ID kwa ajili yangu. Nilivyo mpole mtoto wa watu sijui nililikoroga wapi
 
Kuna member anaitwa sexless mara leo nimezaa na handsome kesho yake unasikia mke wangu kakimbia kitandani tukiwa kwenye show,
Mara ohh Nimepata right mani kazini mume wangu simtaki tena, kesho yake utasikia Nimeamua kimuacha mke wangu rasmi. Yan full vurugu tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jolie Jolie Shunie
Yaaaani nimeeeecheka lakini ujue ni aibu sana kama unafanya ivyo af uje uumbuliwe,hivi kwa mfano akaunt ya yule wa kujisifu alilambwa na mtanga ndo igundulike ni yako mzigua haha hiv utajificha wapi?
 
Hakiii nakutangaza wakunyumba labda ufe na siri yako nitaandika thread hatimaye wakunyumba kaamua kuwa shemale
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…