Vituko nilivyowahi kuviona kwenye sahili (interviews) vya kukatisha tamaa

Same story back in 2014 kwenye sehemu moja nyeti serikalini.

Nilipigwa tiktaka ya kufa mmasai wakachukuliwa watoto hata vyeti hawana wameenda na transcript tu na tangazo lilisema halihitaji trans wala statement of result.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Same story back in 2014 kwenye sehemu moja nyeti serikalini.

Nilipigwa tiktaka ya kufa mmasai wakachukuliwa watoto hata vyeti hawana wameenda na transcript tu na tangazo lilisema halihitaji trans wala statement of result.
Haya mambo yapo sana kwenye taasisi huju
 
Si ajabu huyo kiongozi wa tff bado yupo kwenye system ya mpira na bado kwa unafiki anaongelea maendeleo ya mpira wa miguu
 
Mnatafuta kazi ndani ya nchi pekee au hata nje ya nchi? Hebu Ingia google careers, Facebook careers, Unilever Career uangalie. Hao ndio Client wangu na ninajua ninachosema. Kama kazi ni Tanzania pekee basi endeleeni kubanana. Amka, panua wigo wako wa kutafuta kazi. Zipo nyingi tu, usikate tamaa.
 
Sawa mwalimu
 
Sawa mwalimu
Dah umenikumbusha mbali nishawahigi kuwa mwalimu.ila hii kazi ya ualimu watu wanaiwezaje? Siku naacha kazi hata sikuaga.nilikuwa nachukia hii kazi kuliko kitu chochote. Kazi unabanwa saa moja kali uwe kazini na usaini kitabu dah. Eti likizo nabaki shuleni hata kama hakuna wanafunzi kha!

Ualimu ni wito.

Napenda uhuru muda huu saa 6 mchana ndo naingia ofisin nitatoka muda ninaoutaka hakuna wa kuniuliza nilipo.asante mungu niliacha ualimu.
 
Me ndio maana naamini mpira Tanzania tutaishia kuwa wasenge tu... Hawa viongoz wa mpira kuanzia ngazi ya wilaya mkoa na taifa ni wasenge tu... Miaka 8 iliyopita niliwah kusimamia michezo mkoa Dodoma, nikawaambia viongozi wenzangu tuweke uzalendo mbele tuchague wachezaj watoto watakao tuwakilisha vzuri kitaifa. Wenzangu hawakunielewa wakachagua wachezaj wa team zao ambao hawana vipaji, mimi ktk team yangu walichaguliwa wachezaj 3 na walikua wana vipaji sana,
πŸ˜…πŸ˜‚ Embu acheni kudanganya vijana... Ktk hizo fani ulizotaja ukitoa PILOT na AIRCRAFT ENGINEER (ambao na wenyew kwasasa kazi so uhakika πŸ’―), hao wengine wote wapo mtaani wanasubiri connection ya kazi...
 
Mimi nakumbuka kuna mwaka niliitwa kwenye interview kwenye kampuni moja hivi hapo Dsm. Nakumbuka tulikuwa wengi sana.
Ilipofika zamu yangu kuitwa kwenye chumba cha interview niliwakuta watu 6 hivi. Sasa nikahojiwa maswali nikayajibu kama inavotakiwa, chakushangaza nikaambiwa na HR wa pale nimepita direct kwahiyo niache contacts then watanicheki.
Toka siku ile sikupigiwa simu
Iliniuma sana.😒😒
 
Bongo nyoso
 
Nilienda kwenye Interview Shirika la umeme Makao makuu ya nchi,tukafanya interview ya kwanza nikapita kisha ya pili.Nikakosa basi kiroho safi nikawa nimetulia tu,siku moja nikakutana na mmoja ya watu tuliokuwa naye katika usahili wa mwisho.Akanichana ukweli kuwa pale mimi ilikuwa wa kuzugia tu,wale wenzangu wote pamoja na yeye walikuwa watoto na ndugu wa mameneja kutokea mikoa na wilaya nyingine hivyo pale wote walikuwa wana kazi mimi tu ndo nilikuwa msoteaji.Kuanzia hapo nikaanza biashara,mashirika yana wenyewe haya.
 
Huku makanisani ndio hasa wachawi wanapojificha kwenye chaka la UKRISTO.

Unaweza kukuta ASKOFU MCHAWI NA AMEVAA JIMSALABA KUBWA.
Kuna mchungaji mmoja rafiki yangu anasalisha moja ya madhehebu makubwa nchini aliwahi kuniambia kuwa yeye na askofu hawaendi sawa kwakua huyo askofu huwa anataka apewe milioni mbili kila mwezi kutoka kwa wachungaji utajua pakuzipata na asiyepeleka hiyo pesa anahamishiwa kanisa la kijijini huko ambalo sadaka y jumapili haifiki hata elfu hamsini misa zote ila ukiwa unapeleka hela kwa askofu unapangiwa parish ya mjini na kanisa lenye washua
 
Duu,hii ni hatari sana,mtu hayupo kiroho ni mwendo wa ngawira tu.
 
🀣🀣🀣🀣Duu! Unajieleza wanakuchora tu,moyoni wanacheeeka.Maisha haya we acha tu.
 
Ndio maneno yao hayo,ukiambiwa tutakuita ujue imetoka.
 
Sasa kulikuwa na haja gani ya kupiga simu,kama sio usumbufu tu.
 
Aisee!hii ni hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…