Nikiwaambia jpm alinyoosha nchi mnanitukana ooh mi mshamba oh what what.
Siku nilipokoma kwenda interview ilikuwa hivi.
Hr alinipigia akaniambia nijiandae kesho ni interview.
Huyo nikafika .siku hiyo sikulala nilisoma hadi asubuhi.
Kufika nikakuta interviews wako 8, watu wakaingia weeee na mimi nikaingia jumla tulikuwa 15 kumbe anatakiwa mmoja tu.
Basi wakaniuliza weee nikajibu mpaka natoka nilikuwa na %90 nimejibu sahihi.
Basi wakati wa kuondoka hr akaniita akanambia , luckyline najua umetoka chuo, hujafanya interview nyingi, nilikuita upate uzoefu ili siku nyingine ukiitwa sehem uweze kuwa na uzoefu zaidi.
Akaniambia nilikuita kwa sababu hauko mbali, nauli buku.kiukweli hutopata hii kazi atapata yule binti mlofatana ni mtoto wa one of the directors, ingawa umejibu vizuri ila ndo hivo.samahahi kukusumbua najua umejifunza kitu. nilikereeeeka mpaka basi.tangu siku hiyo sikuwahi kuomba kazi tena.
Jpm alivyoingia vyeti feki wakakaa chini. Si ndo sisi wenye vyeti vyetu vilivyonyooka tukaanza kuwa na thamani.?
2019 hapa ilikuwa ni cheti tu hakuna connection wala nini. 2019 nikapa kazi nilokuwa nataka, juzi nikaomba tena mule mule, cheti chako ndo dhamana yako nimepata tena.hii ndo kazi niliitamani hata kuliko ya kwanza.
Kazi inayotaka vyeti na ufaulu wa interview ndo kazi.
Ati wanaita watu elfu 2 kumbe wanataka 20 kweli? Upuuzi.
Makarani wa sensa mpoo?[emoji3][emoji3][emoji3]