Vituko nilivyowahi kuviona kwenye sahili (interviews) vya kukatisha tamaa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ubinadamu kazi sana
Wangekuwa wanaacha kusumbua watu,unakuta mtu ameazima nauli au kapewa na mama yake maskini ili akomboe familia matokeo ni kuwa anaona kabisa wanaopewa kazi ni wale ambao hata usaili hawakufanya,inauma sana.
 
Kwa nini unakuguliwa tigo kwa hiyo kazi??
Mmoja wa delinquent member wa JF ni wewe, soma tena uelewe wapi nimeandika hayo uliyoyaandika?,mpumbavu na I can't help labda ungekua mjinga ningekuelewesha,uchunguzi wa tigo ni mmoja ya vigezo kabla hujapita kuwa jet fighter pilot cadet
 
Serikali iingilie kati kudhibiti huu ujinga wa kupotezea watu muda.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi sina cv ,sina sponsor ila namshukuru mwenyezi mungu yaani kila interview niliyowahi kufanya nilichaguliwa...

Nilishafanya interview kama tatu na kuna baadhi ya interview sikuwa na sifa kabisa ila inatokea tu wamenipitisha.


Sina mengi zaidi ya kumshukuru sana mungu muweza wa yote.
 
Hizo koz
Mkuu hizo kozi zote ni konki Wala zisikukatishe tamaa, Dunia ndiko inakoelekea lazima tuu zitahitajika siku za mbeleni. Infact ni kwa kuwa serikali yetu inajitoa ufahamu lakini uhai wa Dunia unategemea hao wasomi hapo juu.
 
Hizo koz
Mkuu hizo kozi zote ni konki Wala zisikukatishe tamaa, Dunia ndiko inakoelekea lazima tuu zitahitajika siku za mbeleni. Infact ni kwa kuwa serikali yetu inajitoa ufahamu lakini uhai wa Dunia unategemea hao wasomi hapo juu.
 
Aiseee
 
Mkuu Mimi huwa namini katika masuala ya tehama huwa hakuna watu wao wala upendeleo.......

Mara nyingi sana katika tehama wanaofuzu usahili huwa kweli wamestahili kufuzu

Na Mara nyingi katika tehama hata tukisema tujaalie basi ni kweli mtu kabebwa huwa bado ana uwezo

Watehama wasaili ni ngumu sana kumchukua asiejua na kumuacha ajuae

Kwenye kada ya tehama baadhi ya vitengo ni ngumu sana kumchukua asiejua maana yaweza leta hasara kubwa sana....

Hivyo kwa wanaoenda kwenye saili za tehama basi ondoa notion kuwa wana watu wao(yes perfection does not exist but wanajitahidi)
 
Hii ndio bongo mzee baba😂😂😂 sehemu ambayo yanafanyika mambo magumu hata kufikirika tu bila aibu.
 
Hiyo mikozi ya kibabe sanaa. Masikin akisoma hizi bado atasota tu.. Labda awe genius
Kwangu mimi nadhani kitu ambacho kama nchi kingeweza kutukwamua ni kilimo. Tuna kila nyenzo ya kutuwezesha kuilisha dunia, tena kwa product zenye ubora wa hali ya juu. Tumekosa tu uongozo wenye maono na dhamira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…