Vituko nilivyowahi kuviona kwenye sahili (interviews) vya kukatisha tamaa

Ilikuwa 2019 binamu yangu kaitwa interview huko serengeti mana alitoka jkt miaka miwili akaridi home.nikaforce kumpa chochote kumbe kadandia malori kafika hadi huko fresh.siku ya interview kaenda anaulizwa nani kakutuma uje?? Yan una mtu wako unaemfahamu hapa.?? Wewe ni kabila gani.? Jamaa hana la kusema mana yeye kaenda tu bila connection.basi alidunda...akarudi anatukana tu.

Nyingine hii hapa huzi tu sensa.....

Nimesema ngoja nikaombe kwa uncle nje ya mji kidogo vikindu tu hapa...la haula tumefanya interview fresh siku ya pili majibu bado lakin kuna watu tayar wanajua washapita na simu walipigiwa kama msiwe na wasiwasi mshapita......

Hii ndio tanzania yetu.
 
bado naendelea sana kufuatilia huu uzi, Kwakweli kuna vitu vinaumiza sana.

Watu wa Takukuru mpo humu, watu wa TISS mpo humu na hawa wanaoteseka ni ndugu zenu jaribuni kusaidia jamii tabia hii ife mnusuru vizazi na vizazi.

Kuna haja sasa hizo mamlaka nilizozitaja kufanya kitu kwa kuanzia kwenye taasisi za Serikali kila nafasi zinapotangazwa na kuona nini kinatokea na ikibainika kuna shida basi hatua za haraka zichukuliwe.
 
Kwangu mimi nadhani kitu ambacho kama nchi kingeweza kutukwamua ni kilimo. Tuna kila nyenzo ya kutuwezesha kuilisha dunia, tena kwa product zenye ubora wa hali ya juu. Tumekosa tu uongozo wenye maono na dhamira.
Uko sahihi.

Ila dhana ya kuitegemea nchi/ serikali ndio itufanyie ndo inapunguza creativity kwa vijana wetu.

Inabidi tuone namna ya kutengeneza vijana watakawazo kufanya vilivyo ndani ya uwezo wao kuinuka, pasina kusubiri serikali.

We need creative generation.
 
mtoa mada umenikumbusha dogo wangu wa kitaa Martin tangazi alivyofanyiwa na TFF..hii nchi ni ngumu sana kama mnakumbuka miaka ya uko nyuma kuanzia 2011 kulikuwa na mashindano ya Airtel rising star wanatafutwa vijana wenye vipaji then wanapelekwa Qatar kwenye Academy ya mpira wakachaguliwa watu kutoka kwenye shule mbalimbali za sekondary alafu ukafanyika mchujo bahati nzuri uwo mchujo aliyekuwa anausimamia ni mzungu kutoka Spain ukapigwa mchujo dogo akapità wakapelekwa karume wakaungana na wengine ili upigwe mchujo wa mwisho kitaifa then waliyopita moja kwa moja Qatar basi dogo kama bahat napo pale akatoboa wakawa wamechaguliwa watu kama 10 ndio waliofuzu wanaenda Qatar dogo akaanza kufuatlia mambo ya pasport kila kitu kikawa sawa sasa siku ya kuondoka waliambiwa wote waliochaguliwa wafike makao makuu ya TFF asubuhi saa1 dogo saa 12 tayari alishafika muda ulipofika wakawa wanaitwa majina then wanaingia kwenye coaster la TFF moja kwa moja Airport dogo anashangaa majina yameisha alafu yeye ajasikia jina lake akauliza mimi sijasikia jina langu na kwenye mchujo nilipita wakamuuliza unaitwa nani akawajibu akaambiwa mbona Martin tangazi yupo ndani ya gari tayari akajaribu kuwaelewesha wapi kumbe nafasi yake walimpachika dogo mmoja mtoto wa kiongozi wa TFF gari likasepa wakampa nauli elf10 ya kurudia home haki ya mtu ailiwi niliamini siku ile kufika Airport wakakutana na ile crew ya yule mhispania wametoka hotelini tayari kwa kuanza safari kama zari yule mzungu akaingia ndani ya gari kuhakikisha wale aliowachagua kama ndio wenyewe yule mzungu ile kuwatazama wote akawaambia wale viongozi wa msafara kuna mtu mmoja ayupo apa sijamuona wakauliza nani uyo akawaambia martin ayupo apa kumbe yule mzungu alishamkubali dogo akawaambia apa atuondoki bila uyu mtu kuletwa apa dohh kwa aibu tumekaa kitaa tunasikia bi mkubwa wake anakuja na simu kumpa martin yule kiongozi alimwambia beba vitu vyako faster njoo airport kilichobaki ni historia dogo now ameshachukua na uraia wa Qatar kabisa
 
Duuuh!
 
Uko sahihi.

Ila dhana ya kuitegemea nchi/ serikali ndio itufanyie ndo inapunguza creativity kwa vijana wetu.

Inabidi tuone namna ya kutengeneza vijana watakawazo kufanya vilivyo ndani ya uwezo wao kuinuka, pasina kusubiri serikali.

We need creative generation.
Ni kweli. Ila mazingira mazuri siku zote huwekwa na serikali. Kwanza tuhakikishe elimu inayotolewa ni elimu sahihi na siyo kukariri kama sasa hivi. Pia vitu kama mifumo ya kupata viongozi iwe fair na wananchi waishi kulingana bidii wanayofanya kwenye kazi. Vitu kama mikopo, masoko nayo serikali inaweza kuwa mbele kuboresha. Mawasiliano kama barabara na reli pia ni jukumu la serikali.
 
bado naendelea sana kufuatilia huu uzi, Kwakweli kuna vitu vinaumiza sana.

Watu wa Takukuru mpo humu, watu wa TISS mpo humu na hawa wanaoteseka ni ndugu zenu jaribuni kusaidia jamii tabia hii ife mnusuru vizazi na vizazi.

Kuna haja sasa hizo mamlaka nilizozitaja kufanya kitu kwa kuanzia kwenye taasisi za Serikali kila nafasi zinapotangazwa na kuona nini kinatokea na ikibainika kuna shida basi hatua za haraka zichukuliwe.
Hao unaowaita takukuru ama tiss nao wapo katika position hizo kwa michongo ya kujuana wala sio usaili wa haki na usawa.

Hawana msaada katika hili..ili msaada uje vijan inapaswa wasimame imara kupiga huu upuuzi kwa vitendo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom