Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Mangapi alishafariki kitambo tu
 
Prof Vulata alishafariki
 
Padri Mcharo kumbe nawe wa huko
 
Msisahau Mango garden namba za mashoga zimeandikwa chooni
Haaa haaaa hicho kitakuwa choo cha wanaume.mimi nilikuwa naenda sana mango.chooni sijawahi ona no.za simu. Mimi nimekulia k.ndoni( block 41) ila vituko vingi nimevisoma humu
 
Wacheza draft 80% wana maneno ya shombo. Na hiyo ni Tanzania nzima nafikiri, nimezunguka mikoa minne na wacheza draft wote wana maneno ya shombo

Draft bila maneno ya shombo halinogi. Mfano pale umemfunga mpinzani wako ambaye anakudharau utasikia anakuambia wewe ni baiskeli ya miti atakukuta mlimani/kwenye tambarare au anakwambia ndege kumnyea mtu sio shabaha ni bahati tu. Pia ukifunngwa na mtu mwenye shombo atakuambia ulikuwa unalia nataka cheza na kaka huku kabana pua kama anavyoongea mtoto mdogo. Yaani draft kama una hasira za haraka huwezi utakuwa unarusha ngumi kila mara.
 
Ila nakumbuka zamani kuna Shost wangu alikuwa anaishi mwananyamala kwa msisiri.ni zamani nyumba yao ilikuwa karibu na gesti imenibidi nimuulize ile gesti inaitwaje ameniambia ni kamanyola watu walikuwa wanapiga chabo mno.shost wangu mwenyewe ameshahama nyumba mamaake aliiuza wakahama
 
He he usikute tunajuana kuna mdada tulisoma nae alifariki mwaka jana alikua anakaa huko msisiri Amina ridhiwani masikini
Inalilahi amina ridhiwani amefariki?? Lini mkuu dah [emoji24] [emoji24] [emoji24] amina
 
Na buguruni pia, sijajua kwa sasa hali ikoje, sewa na kimboka zilikuwa zikifungwa saa 7 root kwa zero pub till kuchee, niliwahi kuopoa ma.laya akanywa safari 4 nikalala nae na kumuibia 120k, nikasepa akastuka alinifata stend na chupi tu! sitasahau!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,mkuuu si utupe muendelezo[emoji16] [emoji16]
 
Pale kwa chabo ni balaa!kuna story M/kiti wa Serikali ya Mtaa Msisiri enzi hizo alienda kugegeda akapigwa chabo na wahuni muda mrefu tu ikafika kipindi anataka kumla tigo dada;basi kuna mpiga chabo akapayuka dah M/kiti na wewe unafi..!Mchezo uliishia hapo na M/kiti alipotea mtaani kwa muda mrefu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Duuuuh,hatari sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…