Limbani
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 1,438
- 442
Mangapi alishafariki kitambo tuWapi DJ Manga P?Alikuwa anatuburudisha pale Masai kipindi hiko Hakuna Club bali kuna vyumba vya kulala wageni na Bar halafu Manga P anakuja kila Alhamisi au Ijumaa kutuburudisha na oldies za 80s. Hii ndio ilianza kuvutia wateja hadi Club ikaanzishwa.
Kipindi hiko hapo opposite kuna kibanda choka mbaya ila kina michipsi na mishikaki mitamu na bei ya kutupa ukichanganya na miguu ya kuku.