Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Duu pole lakini haijakupa madhara, ungeendelea nayo tu[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Daahh nshalishwa nyama ya mbwa mwananyamala nikijua mbuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu pole lakini haijakupa madhara, ungeendelea nayo tu[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Daahh nshalishwa nyama ya mbwa mwananyamala nikijua mbuzi
Umenifanya nikumbuke mbali.mwananyamala sio poa kabisa unakutana nakitoto chini ya 14 shughuli yake unakimbiaKamanyola gesti karibu na Bakule... Ukiingia hapo hata ufanyeje lazima upigwe chabo... Nasikia zile chabo zinalipiwa...
Mkuu huko Mwananyamala basi hapafai kabisa![emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mamaeeeee
Pia usisahau Mwananyamala ndio sehemu pekee unaweza ukapata Wali Maharagwe kwa tsh 300 na ukashiba kabisa!
Pia usisahau Mwananyamala ndio sehemu pekee unaweza ukapata Wali Maharagwe kwa tsh 300 na ukashiba kabisa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa nguvu ulimaliza mwaka gani bEmbu ni Pm mkuu
DahhhNa buguruni pia, sijajua kwa sasa hali ikoje, sewa na kimboka zilikuwa zikifungwa saa 7 root kwa zero pub till kuchee, niliwahi kuopoa ma.laya akanywa safari 4 nikalala nae na kumuibia 120k, nikasepa akastuka alinifata stend na chupi tu! sitasahau!
Hiyo ndio Mwananyamala!Pale uwanjani kwa kopa kuna upande wa uwanja unaitwa kwa wahuni hapo ni bangi mtindo mmoja alafu cha kushangaza kituo cha police kipo mita mia kutoka Hapo...
Huo mtaa ndio alikaa dingi enzi hizo sema uncle wake alikuwa nunda sana ila alikuja kutoroka akaenda UK kwa kuzamia alafu nasikia ndio mtaa wa wazamiaji wengi sana hapo.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwaka aliokufa nyerere yuleeee nyerere..mwalimu elias, mwalim mshana, martin, ndeka,....unamkumbuka Msuto, balowa, zamarad, khadija mkandu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa nguvu ulimaliza mwaka gani b
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji15]Kamanyola gesti karibu na Bakule... Ukiingia hapo hata ufanyeje lazima upigwe chabo... Nasikia zile chabo zinalipiwa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akiiii nakujua aisee yaaanMwaka aliokufa nyerere yuleeee nyerere..mwalimu elias, mwalim mshana, martin, ndeka,....unamkumbuka Msuto, balowa, zamarad, khadija mkandu
Hahaha!! Usiombe awe anakuangalia halafu sio akakutolea uvivu akakuuliza kama nakufananisha hv kama tushawahi kuonana mahali sipati picha hizo futi utakazoruka mkuu!!! [emoji2]Du dem mmoja nilimla hapo kimboka aka hamia mtaa ninao ishi wakati huo nimeoa nilikua Na hofu kumbe anikumbuki ananiita Shem siku moja naamka kumi nambili nakutananae kajipura inaonesha katoka viwanja demu anashep matata sna
Mchangani auMwenyekiti wetu hajui kusoma na kuandika ukaanzishwa utata akasema anajua kuandika na kusoma.
Wakakutanishwa siku hiyo ya kumtest kama kweli anajua kusoma na kuandika akaambiwa andika Chama Cha Mapinduzi.
Akaandika Chama Ha Mapundusi
Mwandiko kama bata.
Kampeni za 2015 akawa ananadi sera nanukuu
"Vijana nipeni kura mimi na nyinyi hatuna ugomvi ndiyo maana mnapovuta bangi napajua ila sijawahi kuwaleta polisi, kama kuna yeyote kawahi kusumbuliwa na askari kisa bangi aseme"
Ndio nilikuwa nahama
Hahahaha gege jirani yangu mtata yeye analala saa 12 asubuh mpaka saa 1 jioni anaamka kazkaz dahHa ha dah Mwinyijuma mtata sana mjomba wa mwizi mmoja marehemu anaitwa Gege
Huyo hadija mkandu aliwahi kunipiga mkwara hapo shuleni m/nyamala B...nilikuwa nikimuona sina amani.Mwaka aliokufa nyerere yuleeee nyerere..mwalimu elias, mwalim mshana, martin, ndeka,....unamkumbuka Msuto, balowa, zamarad, khadija mkandu
Alikuwa na mke mkali sana yule jamaa,kipindi kile nipo chalii but nilikuwa namtamani,mama yao alikuwa anauza mkaa igumila street dahNa yule Mdogo wake aliingia kwenye jeneza nyimbo ya MwanaFA ya alikufa kwa ngoma naye alifariki pia