Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Umeisahau vipi Mwananyamala KomaKoma?
Masai Club kwa mzee mponda?
Nimekula sana hapo kwa mma ntilie karibu na A!
Usisahau hapo Mwananyamala kila familia haikosi mtoto mmoja au wawili wako UK..BRAZIL AU CHINA kwa shughuli za kipunda.
Hili lina ukweli kwa asilimia 99 maana hata mie ni wa mwananyamala na sipo bongo.. duuh uzi mtamu sana huu. Asante Mshana jr najisikia niko mitaa ya mwananyamala.
 
Si kwamba sitaki.

Nauliza, inawezekana kuna historia ambayo mimi siijui.

Najua Museveni kakaa Upanga mtaa wa Mindu, najua mpaka bifu za Yoweri Museveni na jirani yake Tito Okello (ambaye baadaye alimpindua). Mpaka afande Karubi alivyowasuluhisha kwenye parties za wanajeshi Mindu. Mpaka Ben Mashiba alivyomwambia Mwalimu awatenganishe na Museveni akaondoka kwenda msituni. Jinsi Museveni alivyokuwa anakodi teksi halafu halipi mpaka madereva teksi wa Muhimbili wakawa wanamkimbia, mpaka jinsi Museveni alivyotoka flat aliyopewa na Ikulu Mindu Street bila kulipa bili ya umeme na maji, mpaka akalipiwa na aliyemfuatia kukaa kwenye hiyo flat.

Huko Mwananyamala alikaa mwaka gani? Inawezekana alikaa, sijui, nauliza tu.

Mimi nafuatilia historia za maisha ya Museveni, Mondlane na Mugabe Tanzania.
Mkuu,jamaaa aliishi hata mwananyamala,hata yeye museveni alisha kili hadharani
 
Alikuwa anachonga sana yule mdada ila aliyaanza mambo ya kikubwa akiwa mdogo sana...wakati naanza darasa la kwanza B kwa mwalimu elias kuna dogo anaitwa rashid anaishi ujiji na mwingine anaitwa msafiri nowdys yupo soko la mapinduzi anauza mkaa walinipiga biti la maana mpaka kesho yake sikurudi tena shule B kisa nimekaa ktk dawati sehem niliyoka ni sehem ya mwenzao siku hio alikuwa ajakuja shule maana nilichelewa km week moja kuanza shule so wale walikuwa wajanja wakawa wananiambia "toka nenda ukakae chini au nenda ukakae kwa wanawake wenzio" yanii dawati la mbele yupo fatm mnyeto na zamarad wananiambia "nenda ukakae pale kwa wanawake wenzio toka hapa" huyo rashid mweusiiii niliogopa sana kurudi home nikalia sana kwa mzee nikamwambia wananiambia mimi mwanamke mara wananivuta na nywele wakati mim mwanaume mwenzao bibi kubwa kusikia ivyo akamaind sana maana alikuwa ananidekeza sana akanipeleka mtendeni primary wakati yeye bi mkubwa anafanya kazi pale pale akiba mimi nasoma mtendeni akitoka job tunarudi mwanyamala sasa nikirudi mtaani nakuwa mnyonge maana watoto wakihindi wanishia town tu hapa uswaz kwetu watoto wote wanasoma B stori zao za B za shule kwao..kuingia la pili nikataka tena kurudi B mzee akanichukua mwanyamala B nikarudishwa darasa lile la mwalimu elias dah makamanda nikawakuta tena wapo vile vile this time nilikuwa nishachangamka kidogo mapumziko ni ngumu tu pale uwanjani B wakati huo vumbi jekunduuu
Huyu mwalimu elias alikuwa mwalimu wangu wa darasa la kwanza,namkumbuka huyu mwalimu alikuwa mnene hivi na mweupe nahis ulikuwa wa kujichubua weupe wake,darasa la kwanza B lilikuwa karibu na msikiti dah
 
Alikuwa anachonga sana yule mdada ila aliyaanza mambo ya kikubwa akiwa mdogo sana...wakati naanza darasa la kwanza B kwa mwalimu elias kuna dogo anaitwa rashid anaishi ujiji na mwingine anaitwa msafiri nowdys yupo soko la mapinduzi anauza mkaa walinipiga biti la maana mpaka kesho yake sikurudi tena shule B kisa nimekaa ktk dawati sehem niliyoka ni sehem ya mwenzao siku hio alikuwa ajakuja shule maana nilichelewa km week moja kuanza shule so wale walikuwa wajanja wakawa wananiambia "toka nenda ukakae chini au nenda ukakae kwa wanawake wenzio" yanii dawati la mbele yupo fatm mnyeto na zamarad wananiambia "nenda ukakae pale kwa wanawake wenzio toka hapa" huyo rashid mweusiiii niliogopa sana kurudi home nikalia sana kwa mzee nikamwambia wananiambia mimi mwanamke mara wananivuta na nywele wakati mim mwanaume mwenzao bibi kubwa kusikia ivyo akamaind sana maana alikuwa ananidekeza sana akanipeleka mtendeni primary wakati yeye bi mkubwa anafanya kazi pale pale akiba mimi nasoma mtendeni akitoka job tunarudi mwanyamala sasa nikirudi mtaani nakuwa mnyonge maana watoto wakihindi wanishia town tu hapa uswaz kwetu watoto wote wanasoma B stori zao za B za shule kwao..kuingia la pili nikataka tena kurudi B mzee akanichukua mwanyamala B nikarudishwa darasa lile la mwalimu elias dah makamanda nikawakuta tena wapo vile vile this time nilikuwa nishachangamka kidogo mapumziko ni ngumu tu pale uwanjani B wakati huo vumbi jekunduuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi unamkumbuka Hashim yule tolu flani hivii kuna siku naenda tanga nipo kwenye bus nimekutana nae kibaha masikini anauza korosho
 
Alikuwa anachonga sana yule mdada ila aliyaanza mambo ya kikubwa akiwa mdogo sana...wakati naanza darasa la kwanza B kwa mwalimu elias kuna dogo anaitwa rashid anaishi ujiji na mwingine anaitwa msafiri nowdys yupo soko la mapinduzi anauza mkaa walinipiga biti la maana mpaka kesho yake sikurudi tena shule B kisa nimekaa ktk dawati sehem niliyoka ni sehem ya mwenzao siku hio alikuwa ajakuja shule maana nilichelewa km week moja kuanza shule so wale walikuwa wajanja wakawa wananiambia "toka nenda ukakae chini au nenda ukakae kwa wanawake wenzio" yanii dawati la mbele yupo fatm mnyeto na zamarad wananiambia "nenda ukakae pale kwa wanawake wenzio toka hapa" huyo rashid mweusiiii niliogopa sana kurudi home nikalia sana kwa mzee nikamwambia wananiambia mimi mwanamke mara wananivuta na nywele wakati mim mwanaume mwenzao bibi kubwa kusikia ivyo akamaind sana maana alikuwa ananidekeza sana akanipeleka mtendeni primary wakati yeye bi mkubwa anafanya kazi pale pale akiba mimi nasoma mtendeni akitoka job tunarudi mwanyamala sasa nikirudi mtaani nakuwa mnyonge maana watoto wakihindi wanishia town tu hapa uswaz kwetu watoto wote wanasoma B stori zao za B za shule kwao..kuingia la pili nikataka tena kurudi B mzee akanichukua mwanyamala B nikarudishwa darasa lile la mwalimu elias dah makamanda nikawakuta tena wapo vile vile this time nilikuwa nishachangamka kidogo mapumziko ni ngumu tu pale uwanjani B wakati huo vumbi jekunduuu
Unamkumbuka mbogolo? Alikuwa mlemavu hivi wa mguu
 
Mwananyamala kuko advanced kuliko Tandale.. Ambako umaskini na chumaulete ndio vimeshamiri
Halafu huwezi linganisha mwananyamala na sijui tandale, tandika au temeke, mwananyamala ni uswazi lakini grade A, kuko juu kidogo ya hizo sehemu kuna wahangaikaji wa maisha level ya copa cabana; Brazil au Cochabamba- Colombia.watafutaji tu ndio wamejaa hapo.
 
Mwenyekiti wetu hajui kusoma na kuandika ukaanzishwa utata akasema anajua kuandika na kusoma.

Wakakutanishwa siku hiyo ya kumtest kama kweli anajua kusoma na kuandika akaambiwa andika Chama Cha Mapinduzi.

Akaandika Chama Ha Mapundusi

Mwandiko kama bata.

Kampeni za 2015 akawa ananadi sera nanukuu

"Vijana nipeni kura mimi na nyinyi hatuna ugomvi ndiyo maana mnapovuta bangi napajua ila sijawahi kuwaleta polisi, kama kuna yeyote kawahi kusumbuliwa na askari kisa bangi aseme"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nilishawahi kupita mitaa hiyo kwa miguu tena usiku mara kadhaa. Kuanzia Studio, Hospitali, Kwa Mama Zakaria, Ujiji, Kwa Kopa na sikuwahi kukabwa. Labda nilikuwa na malaika mlinzi.

Ila pale Mwananyamala A na kwa Kopa, Ujiji kuna sura si za Amani kabisa
Sura zao zikoje
 
Kwa wala mirungi na mmea makomeo ana lafudhi ya kisukuma lazima umjue kama unakaa mwananyamala,walimsamimisha kazi kamata kamata ya makonda ile nasikia amerudishwa tena .Bado kuna afande swai
 
Kuna biashara inaendelea pale Minazini kuna nyumba imejengwa km madarasa ya shule (jina maarufu kwa wahaya).

Kipindi kile bao moja ilikuwa 1500, kulala 5000 mda wa biashara ni saa 7 mchana mpaka midnite. Vile vyumba vina milango miwili yanii unaingia mbele unatokea nyuma..

Wanaojiuza unawakuta wamekaa mlangoni pale chini mteja akija hakuna ata salamu ni speed tu ndani, kuna wamasai pale wao ni km walinzi wa ile biashara ukizingua kulipa wanakupa kichapo. Wateja wengine walikuwa wanakwenda kutolewa ndani ya room unakuta mteja amelipa 1500 ya mwendo mmoja yeye anaunganisha basi anaitwa mmasai fasta na bakora zake....

Pia hawa wamasai unakuta analipwa elfu 60 kwa mwezi ila mwisho wa mwezi anaambulia elfu 8 au 10 nyingne zote anakuwa anapewa huduma sana sana za buku 5 zile za kulala usk...HAPO ni MINAZINI.

Hapa mara ya kwanza nilifika nikashindwa kabisa kuingia vyumbani kisa uoga,mara ya pili pia nikashindwa kuingia baadae mara ya tatu nilikaa kwenye Bar ilikuwa kwa nje kipindi hicho,Serengeti zipo sokoni sana nikapiga zangu mbili nikapata confidence ndo nikazama nikabonya.

Ingawa wale wadada wanazingatia sana afya lakini majuto niliyopitia kwa wiki nzima siji sahau.Miaka kumi na mbili imepita sasa toka siku ya tukio..😀😀

Ila ni mazuri mengine mpaka unashindwa amini kwanini wanafanya ile biz.
 
Back
Top Bottom