Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Umeisahau vipi Mwananyamala KomaKoma?
Masai Club kwa mzee mponda?
Nimekula sana hapo kwa mma ntilie karibu na A!
Usisahau hapo Mwananyamala kila familia haikosi mtoto mmoja au wawili wako UK..BRAZIL AU CHINA kwa shughuli za kipunda.
Hili lina ukweli kwa asilimia 99 maana hata mie ni wa mwananyamala na sipo bongo.. duuh uzi mtamu sana huu. Asante Mshana jr najisikia niko mitaa ya mwananyamala.
 
Mkuu,jamaaa aliishi hata mwananyamala,hata yeye museveni alisha kili hadharani
 
Huyu mwalimu elias alikuwa mwalimu wangu wa darasa la kwanza,namkumbuka huyu mwalimu alikuwa mnene hivi na mweupe nahis ulikuwa wa kujichubua weupe wake,darasa la kwanza B lilikuwa karibu na msikiti dah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi unamkumbuka Hashim yule tolu flani hivii kuna siku naenda tanga nipo kwenye bus nimekutana nae kibaha masikini anauza korosho
 
Unamkumbuka mbogolo? Alikuwa mlemavu hivi wa mguu
 
Mwananyamala kuko advanced kuliko Tandale.. Ambako umaskini na chumaulete ndio vimeshamiri
Halafu huwezi linganisha mwananyamala na sijui tandale, tandika au temeke, mwananyamala ni uswazi lakini grade A, kuko juu kidogo ya hizo sehemu kuna wahangaikaji wa maisha level ya copa cabana; Brazil au Cochabamba- Colombia.watafutaji tu ndio wamejaa hapo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sura zao zikoje
 
Kwa wala mirungi na mmea makomeo ana lafudhi ya kisukuma lazima umjue kama unakaa mwananyamala,walimsamimisha kazi kamata kamata ya makonda ile nasikia amerudishwa tena .Bado kuna afande swai
 

Hapa mara ya kwanza nilifika nikashindwa kabisa kuingia vyumbani kisa uoga,mara ya pili pia nikashindwa kuingia baadae mara ya tatu nilikaa kwenye Bar ilikuwa kwa nje kipindi hicho,Serengeti zipo sokoni sana nikapiga zangu mbili nikapata confidence ndo nikazama nikabonya.

Ingawa wale wadada wanazingatia sana afya lakini majuto niliyopitia kwa wiki nzima siji sahau.Miaka kumi na mbili imepita sasa toka siku ya tukio..😀😀

Ila ni mazuri mengine mpaka unashindwa amini kwanini wanafanya ile biz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…