Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mwananyamala uswazi iliyo advance nakubali kabisa pale kuna wacheza sarakasi ulaya na uchinani kama kariakoo.
 
Shunie we ni classmate wangu ujue ni pm
Mkuu huyo Shunie anakwepa kuPM ila nishamjua kuna mdada namuis ndio yeye kuna siku alikula kachori zile na chachandu yake ni machicha ya nazi tukiwa darasa la tatu au la nne hivi akafanya yake darasni nikamtania kinyama mpaka tunamaliza shule ameninunia tu maana ata mtani nilikuwa namchokoza na kumtania
 
Hiyo No.2 kuna siri kubwa kuna daktari kanisimulia michezo yao.

Wanakuwa hired na wahindi wenye hospital bubu huko mitaa ya ubosini wanafumuwa watu matumbo kutoa ngada[emoji419] [emoji419] [emoji419]

Mungu atunusuru Tanzania
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio mm aisee halaf wewe kama ulikua na kina mkandu me na we tulikua madarasa tofauti ahahha nimecheka mnooo wapi evod paul na yule mwenzie nani
 
Tulikuwa ɗrs la 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…