Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Mtaa wa kwa kina hamisNi kweli nyumba nyingi zimeuzwa pande zile na wenyeji wengi wameahama, kuna nyumba karibu na dispensary ya mashuda walikuwa wanauza chakula kwa ajili ya makonda na madereva wa daladala tu na pia humo humo wanauza bangi na madawa. Kweli mwananyamala imebadilika zama zile zimepotea kabisa. Tushacheza sana keram kwa meja matunda.