Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Mwananyamala kitambo sana.. enzi za daladala za Tawaqal Najmunisa, zilikuwa Isuzu pua ndefu[emoji23] [emoji23] ..Daladala kali ilikuwa coaster moja, best friend ilikuwa inapark Komakoma kama sijakosea..

Sema hatukukaa sana, tukahamia Gerezani-Kariakoo. Gerezani ya enzi hizo, wahuni wote wa dar walikuwa wanakuja kupata huduma ya msuba pale, kipindi hicho ngada sio kivile..

Hahaha, good old days!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio mm aisee halaf wewe kama ulikua na kina mkandu me na we tulikua madarasa tofauti ahahha nimecheka mnooo wapi evod paul na yule mwenzie nani
Evod paul ni john kisomo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na nani yule mfundo sijui..mazingaombwe unayakumbuka? Na wanyonya damu
 
mwananyamala A karibu na CCM mwinyi juma ndio home, japo sipo ila mjengo na baadhi ya madogo wapo pale...ishu ya madawa Ndanje alimpiga kabali Mbwa ya Polisi hadi ikafikwa na umauti
Mwanangu we wa kitaa kabisa maana mimi home ni mtaa aliokuwa anaishi Joseph katuba kipa wa zamani wa simba, japo kwa sasa sipo maeneo hayo ila huwa napita mara kwa mara. kipindi hicho video ccm mwinyijuma. Sasa hivi wameweka gym
 
Evod paul ni john kisomo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na nani yule mfundo sijui..mazingaombwe unayakumbuka? Na wanyonya damu
Evod Paul na nani Charles ndio wasongo wetu nimemsahau mwenzie mfupi hivii mazingaombwe ahhaha ya power nani sijui daaah tukiona wazungu wamekuja tunakimbia eti wanyonya damu
 
Shunie tumesoma wotee kumbee
 
Reactions: SDG
 
Mtaa wa wibu ni mateja na madawa na si mashoga.
 
Evod Paul na nani Charles ndio wasongo wetu nimemsahau mwenzie mfupi hivii mazingaombwe ahhaha ya power nani sijui daaah tukiona wazungu wamekuja tunakimbia eti wanyonya damu
Na wewe wa mtaani kwetu nini? Au ulikuwa mdau wa video pale mwinyijuma?
 
Na wewe wa mtaani kwetu nini? Au ulikuwa mdau wa video pale mwinyijuma?
Hapana mkuu me mtoto wa A mtoto wa kota asee watu wengi mtaani kwetu wameuza nyumba sisi bado nyumba yetu ipo huwa naenda kutembea bado ni nyumbani
 
Pale karibu na hosptal ya mwanayamla kuna KAM dispnsary kuna siku wahuni walikwenda kuifunga ile KAM kuna kijana mmoja mzamini wa wahuni yanii wahuni wakiiba huko simu sijui handbag yeye ndio taita anawapa cash...yule Don wao kuna siku jino limemsumbua akaenda pale KAM doctor aliyemkuta zamu ameshapiga vyombo banana enzi hizo docor kampiga sindano ya ganzi fresh doctor ameacha jino bovu akatoa jino zima dah yule Don akatiwa pamba mdog mdog mpaka home ganzi inakwisha anagundua jino bovu lipo duh huo mtiti wake sio mdogo wakawambia wahuni wake leo sina pesa nimeumwa jino nimekwenda kutoa doctor kazingua wahuni wakatia timu pale KAM wanadai jino la Boss wao lile zima arejeshewe vumbi balaa wahuni waliondoka mpaka na mikasi na doctor juu juu wakaenda nae ujiji huko
 
Halaf pale pembeni ukivuka barabara ambapo ndio center ya mateja kwa kina ally mbade sijui unamkumbuka ana rasta hivi
 
Ahhha kudadeki
 
Halaf pale pembeni ukivuka barabara ambapo ndio center ya mateja kwa kina ally mbade sijui unamkumbuka ana rasta hivi
Ali mbade amekuwa anauza uza sijui nin pale na kisauti chake flani hivi kwa mbele kuna shomari Ali tulisoma nae pia..kuna jeba khasim wote wapo maeneo hayo hayo
 
Hapana mkuu me mtoto wa A mtoto wa kota asee watu wengi mtaani kwetu wameuza nyumba sisi bado nyumba yetu ipo huwa naenda kutembea bado ni nyumbani
Ni kweli nyumba nyingi zimeuzwa pande zile na wenyeji wengi wameahama, kuna nyumba karibu na dispensary ya mashuda walikuwa wanauza chakula kwa ajili ya makonda na madereva wa daladala tu na pia humo humo wanauza bangi na madawa. Kweli mwananyamala imebadilika zama zile zimepotea kabisa. Tushacheza sana keram kwa meja matunda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…