Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unakujua kwa mama chubwa? Dooh zamani sana kukimbizaba hadi bwawani kule.
 
Matimila ipo mitaa uwanja wa ccm mwinjuma kwa nyuma ipo mpaka sasa hivi.Remmy alikuwa anakuja kutumbuiza pale Wami bar.
Anakula mmea na gongo kwanza uswahilini ndio anaingia stejini.
 
mshana jr ile mishikaki karibu na pale wami bar kwenye kona ni ya ng'ombe kweli jamani? midoogo ilikuwa inauzwa sh 100 na pilipiliii tamuu jioni unakuta foleni hadi ya magari
 
Prof Vulata alikuja kuwa mlokole baadae alifariki mwaka 2008 au 2009.Alivyofariki nyumba zake alizoacha urithi mbili zikaungua moto kwa kufuatana. Hicho kisa cha "mzimu" wake feki kudondoka toka darini ni cha kweli kabisa.

Vulata ni kondoo dume, hivyo alikuwa na desturi usiku wa mwaka mpya analiteketeza likondoo limoja yaani analiwasha moto linateketea kabisa bila kulichinja. Pale bichwa lake linapopasuka na yeye prof Vulata anapiga risasi moja hewani kutoka kwenye gobore lake.
 
huyu mzee kwa sasa amesetle kibaha... ni jirani yetu anakaa sehemu inaitwa mkoani jirani kabisa na nyumba ya mkuu wa mkoa wa pwani
Chief kumbe na wewe upo.JF.msalimie captain ila. Badili jina chief lipo too identical
 
mshana jr ile mishikaki karibu na pale wami bar kwenye kona ni ya ng'ombe kweli jamani? midoogo ilikuwa inauzwa sh 100 na pilipiliii tamuu jioni unakuta foleni hadi ya magari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ile mishkaki ile......
 
Duuu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 

πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Vijana wa Dar ninavyowajua lazima mlipiga collabo.
 
Ule mnanda wetu unaitwaje vile, ulikuwa A nakumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…