Vituko vya Wakubwa Tz. Kuna Wabunge pia waliwahi kuwa Madada Poa


Point of correction igp omar mahita alizaa na house girl wake
 
Mbona unamrushia Paskali bomu la kutupwa? Je, atalidaka na kulilipua au atalikwepa likaangukie huko mbele ya safari?
 
Kumeanza kuchangamka!!!
 
Nimeona jina langu hapa.
 
Usinikumbushe jinsi nilivyoachwa na demu wako.
 
Nimetoka kapa, ngoja nipate hela,naweza kukumbuka hii code.

Vipi kuhusu wewe, ulikosa hiyo B-card???
Siwezi kamwe, hata akikutana na mtu anajifanya anakusalimia vizuri, wengi humjua ni Waziri, alivyokuwa benchi na sasa karudi. Anajua watamshobokea tu, mimi hapana enzo1988 hujamjua tu? Anzia kulisoma jina mwisho, kuja mwanzo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…