Vituko vya Wakubwa Tz. Kuna Wabunge pia waliwahi kuwa Madada Poa

Nadhani Mahita ana mtoto kila sehemu aliyofanya kazi
Kuna kijana wake tulisoma naye anaitwa Abdul alizaaga na muangaza huko Ngara.Yule jamaa alikua kilaza asee form two alirudia mara 4 na shule alisoma kama 5 hivi.
Jamaa mapombe ndo yaliyomuuaa (ini) lilifeli
 
Kule mjengoni Dodoma ndio Kuna balaa,wale mnaowaita waheshimiwa ukikaa nao hizo story zao...dah! Utashika kichwa...wanasifiana tu kula "donati" za bongo movie na wanachuo..
 
Hao wDada aliwanyoosha kwer kwer na tamaa zao

Pole yake!
 
Maisha hubadilka;
1.Maskini kuwa tajiri.
2.Mlevi kuacha pombe
3.Tajiri kuwa mashikini au kufilisika
4.Muislamu kuwa mkisto na kinyume chake.
5.Asiye mwamini Mungu kuwa muumini mzuri.
6.Majambazi na vibaka kuacha tabia ya wizi.
7.Mwanasiasa kuhama chama. CCM to CDM
8.Dada poa kuwa mke wa mtu.
9.Asiye na kazi kupata kazi (ajira).
10.Mwizi kuwa Mchungaji au shehe.
11.Hata bara bara ukianza safari kuna mlima na mteremko.
Una weza kuendelewa na orodha hakuna mwisho.
 
Hivi mkasa wa yule naibu waziri kumkimbia mke wake asimfumanie na mchepuke wake jamaa akatoka nduki akakimbia na kupata ajali barabarani hakufa, huo mtiti uliishia wapi? Namuona jamaa yuko bungeni akijibu maswali ya wizara yake
Ni wa wizara Gani huyo et mkuu
 
 
Kuna kisa cha hayati Balozi Cisco Mtiro sikumbuk mwaka lakn nakumbuka aliwah kufumwa mwananyamala kwenye Party ya mashoga
 
Hauna picha ya Asela hapo?
 
Hii code ya vikulu imekuwa ngumu kuitanzua
 
Mkuu, kwa hiyo huyo mtemi bado yupo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…