Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
- Thread starter
-
- #21
Mpeleke tuitionMwanangu kawa wa kwanza kati ya watoto 92. Hii shule ni ya kata. Mwaka jana ilitoa four na zero tu.
Nataka mwanangu aje avunje rekodi, atoe gundu kwenye hii shule, hainaga one,two au three, wao ni four na zero tu.
Ukipata four ya 26 wewe ndio genius.
Chapa fimboKamerudi hapa kamerabuka hakajui hata matokeo yalipo
Wow😍Sisi tunakula cartoons tu hapa.
Tutaanza kuulizana matokeo na rank za darasani tukifika P5.
Namkubali sana huyu mrembo wangu.
Tumtungie mtihan mkuuNa mwanangu junior yeye lipoti kapoteza na hajui kawa wa ngapi
HahahaHuyu wakwangu juzi aliniomba buku ya kitabu cha matokeo mwl wao aliwaagiza, nikampa. leo naulizia matokeo yako wapi anasema ile hela kapoteza baada ya kumbana sana anasema alinunua big boom za hela yote.
😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyu wakwangu juzi aliniomba buku ya kitabu cha matokeo mwl wao aliwaagiza, nikampa. leo naulizia matokeo yako wapi anasema ile hela kapoteza baada ya kumbana sana anasema alinunua big boom za hela yote.
Watoto wanapenda sana kusifiwa..hongera zake though!Kawa wa kwanza, sasa ripoti haitoki mezani kila mgeni anaonyeshwa.
Yaani anaonyeshwa kila mtu ili asifiwe, basi mbichwa huooo.Watoto wanapenda sana kusifiwa..hongera zake though!
Watoto ndo wanarudi likizo
Swalehe hapa karudi kawa wa 34 namwuliza imekuwaje umeporomoka toka namba moja ananambia
Baba kwani elfu moja na elfu kumi ipi kubwa nkamjibu elfu kumi
Akanambia Basi sawa mzee , Mimi ndo namba kubwa hapo kuliko wote [emoji16] na kuliko pacha wake Micaela (yeye kawa wa tano )nmeshindwa kumjibu chochote maana Kuna homework alileta akakosa zote nlifanya nae kwenda shuleni wakamwambia wewe na baba yako wote wajinga [emoji26][emoji23]
Nmewaacha na ugomvi hapa yeye na dada ake waamue nani ana namba kubwa [emoji2365]
Wewe umekutana na kituko gani ?
Nakuja kumpa zawadiKawa wa kwanza, sasa ripoti haitoki mezani kila mgeni anaonyeshwa.
Yuko kidato cha ngapi. Hakikisha anasoma kadri uwezavyo, mimi mwenyewe nimesoma shule ya kata one zinahesabika kama mbili kila matokeo, two kama tano hivi, three kumi na kitu, four kama ishirini na ngapi na zero zisizohesabika.Mwanangu kawa wa kwanza kati ya watoto 92. Hii shule ni ya kata. Mwaka jana ilitoa four na zero tu.
Nataka mwanangu aje avunje rekodi, atoe gundu kwenye hii shule, hainaga one,two au three, wao ni four na zero tu.
Ukipata four ya 26 wewe ndio genius.
Dogo kauma shati kama mwanvuli.Mwalimu aliomba Elf 45 mwezi uliopita kwaajili ya Uniform ya mtoto (Huyo alisimama chini).View attachment 1809651
Haki ya mungu hatoiona pepo ya mungu.
Swalehe na Micaela, sarakasi hazitaisha hapa!Watoto ndo wanarudi likizo
Swalehe hapa karudi kawa wa 34 namwuliza imekuwaje umeporomoka toka namba moja ananambia
Baba kwani elfu moja na elfu kumi ipi kubwa nkamjibu elfu kumi
Akanambia Basi sawa mzee , Mimi ndo namba kubwa hapo kuliko wote [emoji16] na kuliko pacha wake Micaela (yeye kawa wa tano )nmeshindwa kumjibu chochote maana Kuna homework alileta akakosa zote nlifanya nae kwenda shuleni wakamwambia wewe na baba yako wote wajinga [emoji26][emoji23]
Nmewaacha na ugomvi hapa yeye na dada ake waamue nani ana namba kubwa [emoji2365]
Wewe umekutana na kituko gani ?
HahahahahahHuyu wakwangu juzi aliniomba buku ya kitabu cha matokeo mwl wao aliwaagiza, nikampa. leo naulizia matokeo yako wapi anasema ile hela kapoteza baada ya kumbana sana anasema alinunua big boom za hela yote.
Noma sanaBaba mdogo ana mwanae yuko darasa la pili. Yule dogo alifanya mitihani ya masomo 8 kati ya jumla ya maswali yote alikosa moja tu. Masomo yote ana 100 kasoro Science ana 96
Yule dogo sio tu ana akili. Ana spirit ya kusoma kama baba yake alivyokuwa. Na malezi wanayopewa natamani nikiwa na watoto nimtembelee bamdogo anipe tuition ya malezi kwanza