Naishangaa sana corona kumuacha mtu kama huyu mpaka mida hii maana anatutungia sheria ambazo zitafanya wajukuu wetu kutushangaa tuliwezawezaje kukubali kutawaliwa kiboya namna hii tena karne ya 21Ukishaona kwenye nchi kuna sheria zinazotungwa kufuata tabia binafsi ya kiongozi wa nchi, ujue itakuwa vigumu kiongozi huyo kutoka madarakani, na sio kutoka tu, bali kutoka kwa amani.