Naishangaa sana corona kumuacha mtu kama huyu mpaka mida hii maana anatutungia sheria ambazo zitafanya wajukuu wetu kutushangaa tuliwezawezaje kukubali kutawaliwa kiboya namna hii tena karne ya 21Ukishaona kwenye nchi kuna sheria zinazotungwa kufuata tabia binafsi ya kiongozi wa nchi, ujue itakuwa vigumu kiongozi huyo kutoka madarakani, na sio kutoka tu, bali kutoka kwa amani.
Haya ndio kama yale ya mwaka 1974 ya kupiga marufuku computers na TV sets! Halafu tukiambiwa tunarudi nyuma tunakuwa wakali!TCRA wakiongea na vyombo vya habari vya Tanzania wamesema ni marufuku vyombo vya ndani kujiunga ma vyombo vya habari vya nje kama BBC, DW au VOA bila kuwa na kibali kutoka TCRA.
Pia vhombo ambacho kitakuwa kinarusha matangazo hayo na chombo hicho cha nje kikatoa maudhui ambayo wao TCRA wataona yanakiuka sheria za nchi basi chombo hicho cha ndani kitawajibishwa.
Dotto Bulendu akipata muda aje atugafanulie maana ndio alikuwa anahojiwa na DW mchana huu
mkubwa kweli kulikuwa na marufuku ya computer & TV miaka hiyoHaya ndio kama yale ya mwaka 1974 ya kupiga marufuku computers na TV sets! Halafu tukiambiwa tunarudi nyuma tunakuwa wakali!
Dotto ni bonge la mtangazajiTCRA wakiongea na vyombo vya habari vya Tanzania wamesema ni marufuku vyombo vya ndani kujiunga ma vyombo vya habari vya nje kama BBC, DW au VOA bila kuwa na kibali kutoka TCRA.
Pia vhombo ambacho kitakuwa kinarusha matangazo hayo na chombo hicho cha nje kikatoa maudhui ambayo wao TCRA wataona yanakiuka sheria za nchi basi chombo hicho cha ndani kitawajibishwa.
Dotto Bulendu akipata muda aje atugafanulie maana ndio alikuwa anahojiwa na DW mchana huu
Nkajiuliza kulikoni leo, ndio napata taarifa hiiNdio maana nafungua hapa naskia mziki tu, DW hamna...
Hii imezidi sasa
Naamini hili sio swali.mkubwa kweli kulikuwa na marufuku ya computer & TV miaka hiyo
Ni maagizo kutoka juu. Aliye juu ni mwoga haijapata kutokea.kwamba wametengeneza kanuni ambazo zinaelekeza masuala hayo. huu uoga sijui unalenga nini
Imagine mimi leo nianzishe page YouTube ya hata kufundisha tu biology let say. Eti lazima nipate leseni kutoka TCRA. Bando langu, muda wangu, YouTube wala sio ya serikali.Hii serikali sijui inalengo gani na wananchi
Inakera sana yaaniNkajiuliza kulikoni leo, ndo napata taarifa hii
Usiniambie kumbe TV na computer zilishawahi pigwa marufuku? Basi ndio haya haya ya enzi za mwalimu.Haya ndio kama yale ya mwaka 1974 ya kupiga marufuku computers na TV sets! Halafu tukiambiwa tunarudi nyuma tunakuwa wakali!