Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uko sahihi kabisa. hata mimi siwezi kuzisikiliza hizo redio kama hazitakuwa na hizo idhaa za nje ambazo zinatoa habari bila kupendeleaMimi huwa nasikiliza RFA na redio nyingine kwa sababu ya BBC,dw na voa,wakiondoa hizo redio kwa heri maana huwezi sikia cha maana redio zetu zaidi ya kusifu,mijadara utumbo na kelele.
Huyu bwana kinachomsaidia kwa sasa ni hirizi na makafala hakuna m2 wa kumvumilia na hizi fikra za kinkrunzinza(RIP)Hivi wanaomzunguka wanamvumiliaje huyu kiumbe?
Hahah kwani hujui msemo wa mabeberu au unajitoa ufahamu tuTanzania ina chombo cha habari mahiri kabisa ambapo ingewezekana basi mashirika ya utangazaji kama BBC na DW yangetoa fursa ya kurusha taarifa za habari za TBC japo kwa nusu saa hivi.
wakitaka yarushwe huko UK yatarushwa ni kujipanga tukwani Radio Free Africa inasikika UK na Ujerumani??
unatumia link gani kuangalia? tushirikishe na sisiMimi nasikiliza online BBC na DW, Mkurugenzi wa BBC amesema jioni hii atatoa msimamo rasmi
Hakuna watu wenye weledi wa kufanya kazi na vyombo vya njeTanzania ina chombo cha habari mahiri kabisa ambapo ingewezekana basi mashirika ya utangazaji kama BBC na DW yangetoa fursa ya kurusha taarifa za habari za TBC japo kwa nusu saa hivi.
Jadili hoja mkuuKweli wewe ni jinga lao!! Na hiyo avatar yako ya Mchicha sijui matembele?
Mpwa natumia kusikiliza sio kuangalia, ni TuneIn Radio, ni nzuri sana ni App sio huo upuuzi wa TCRA wala haunihusuu
unatumia link gani kuangalia? tushirikishe na sisi
Ni kama hiiu
unatumia link gani kuangalia? tushirikishe na sisi
kwani Radio Free Africa inasikika UK na Ujerumani??
Zuiene kila kitu tu simple
Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa, Mhandisi Francis Mihayo amevitaka Vituo vya Utangazaji (Radio, Televisheni, Blogs na Online Tv) kuzingatia Kanuni mpya za Maudhui Mtandaoni 2020 na Kanuni Mpya za Redio na Televisheni 2020...