Vituo vya utangazaji vyatakiwa kuomba kibali TCRA kurusha matangazo ya Vyombo vya Habari vya Nje

Vituo vya utangazaji vyatakiwa kuomba kibali TCRA kurusha matangazo ya Vyombo vya Habari vya Nje

Mimi huwa nasikiliza RFA na redio nyingine kwa sababu ya BBC,dw na voa,wakiondoa hizo redio kwa heri maana huwezi sikia cha maana redio zetu zaidi ya kusifu,mijadara utumbo na kelele.
uko sahihi kabisa. hata mimi siwezi kuzisikiliza hizo redio kama hazitakuwa na hizo idhaa za nje ambazo zinatoa habari bila kupendelea
 
Tanzania ina chombo cha habari mahiri kabisa ambapo ingewezekana basi mashirika ya utangazaji kama BBC na DW yangetoa fursa ya kurusha taarifa za habari za TBC japo kwa nusu saa hivi.
 
Mimi nasikiliza online BBC na DW, Mkurugenzi wa BBC amesema jioni hii atatoa msimamo rasmi
 
Attachments

  • Screenshot_20200810-194236.png
    Screenshot_20200810-194236.png
    43.7 KB · Views: 1
Tanzania ina chombo cha habari mahiri kabisa ambapo ingewezekana basi mashirika ya utangazaji kama BBC na DW yangetoa fursa ya kurusha taarifa za habari za TBC japo kwa nusu saa hivi.
Hahah kwani hujui msemo wa mabeberu au unajitoa ufahamu tu
 
Endeleeni tuu kumchagua makufuli na CCM yake, ipo siku tutaelewana tuu!
 
Tanzania ina chombo cha habari mahiri kabisa ambapo ingewezekana basi mashirika ya utangazaji kama BBC na DW yangetoa fursa ya kurusha taarifa za habari za TBC japo kwa nusu saa hivi.
Hakuna watu wenye weledi wa kufanya kazi na vyombo vya nje
 
Jiwe ameifanya Tz kuwa moja ya nchi ya kipumbavu kabisa ulimwenguni. Yaan huyu jamaa ni muoga,hajiamini ,hataki ushindani,hataki kushauliwa hayo yote yanadhihirisha ya kwamba huyu jamaa kuna mambo mengi maovu ameyafanya na ndio maana anatumia nguvu nyingi ambazo saa nyingine sio lazima ili kulinda madaraka yake.

Huyu jamaa katuharibia nchi yetu.
 
Back
Top Bottom