"Mpuuzi" mimi su anaezaa watoto wa uzinzi na uasherati akawa haramu?Vingi vimejaa watoto waliopatikana kwa njia haramu (watoto wa zinaa na uasherati).
Mpuuzi sana wewe, imani yako isikufanye ukose utu kwa mtoto asie na kosa. Toa hukumu yako kwa mzazi na si mtoto asie na hatia
Uko sawa... Hata hadith za mtume Muhammad (saww) zinaafiki hiliHizi dini/Imani zinatuharibia sana utu, unawezaje kumuita binadamu mwenzako kuwa ni tunda/zao la uasherati? Hivi Kuna mtu anaependa azaliwe kwa njia hio? Kote nakubaliana na wewe Ila kwa hii statement, HAPANA aiseeee!
Mbegu au hatua ya kuzaliana huwa hainaga hizo Habari za zinaa au uasherati! MUNGU ndio anayeruhusu Uumbaji utokee. Shukrani
Ndio maana wanaitwa " wa haramu" hao ni wa uasherati na uzinzi na ndio waliojazwa vituo vya "yatima" na "watoto wa mitaani".Hizi dini/Imani zinatuharibia sana utu, unawezaje kumuita binadamu mwenzako kuwa ni tunda/zao la uasherati? Hivi Kuna mtu anaependa azaliwe kwa njia hio? Kote nakubaliana na wewe Ila kwa hii statement, HAPANA aiseeee!
Mbegu au hatua ya kuzaliana huwa hainaga hizo Habari za zinaa au uasherati! MUNGU ndio anayeruhusu Uumbaji utokee. Shukrani
Kwani hakuna sheria inayosimamia uendeshaji wa hivi Vituo?Nashauri wabunge wapeleke muswada bungeni, kama inabidi hivi vituo viwepo basi vitungiwe sheria zitazokua na manufaa na zitazowalinda hao watoto.
Kama zipo basi hazina makali. Zitazamwe upya.Kwani hakuna sheria inayosimamia uendeshaji wa hivi Vituo?
Wakili msomi Pascal Mayalla pitia hapa
Siku mtakaposikia biashara za viungo zimehamia huko ndipo mtakapostuka.Acha wivu... Ukiona wanafaidi peleka watoto wako wakale na wakasomeshwe bure
Wabongo mna maisha ya wivu sana, mkiona watu wanafanya projects zao mtaingiza fikra potofu, mnapenda kuona watu wakiteseka tu 💩💩💩Siku mtakaposikia biashara za viungo zimehamia huko ndipo mtakapostuka.
Nafahamu, zako ni "laana za umasikini" - courtesy ROBERT HERIEL.
Imani yako inakufanya ufikirie kama kuku.smhMajjipolo
Hiyo definition yako ya mtoto "harama" ni fikra zako tu.
"Mtoto wa haramu' ni yule anaepatikana nje ya ndoa. Elewa kuwa hapo ina maanisha baba na mama yake walifanya haramu, uzinzi au uasherati nje ya ndoa halali. Waliofanya haramu ni wazazi sio mtoto aliyepatikana.
Mada ni vituo vya "yatima" sio uharamu na uhalali wa watoto isipokua nimeona nikuweke sawa tu.
Unavyotamka sasa, utadhani walipenda wazaliwe hivyo! sio kila "Yatima" ni zao la "uasherati" na "uzinzi"! Stop this.Ndio maana wanaitwa " wa haramu" hao ni wa uasherati na uzinzi na ndio waliojazwa vituo vya "yatima" na "watoto wa mitaani".
Wewe wazazi wako walikuzaa nje ya ndoa? Umelelewa kituo cha "yatima".