Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,231
- 2,904
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo niko upande wa FaizaFoxy hajasema watoto haramu ila wamepatikana kwa njia haramu
Wewe tulia tulia tafadhaliMajjipolo
Hiyo definition yako ya mtoto "harama" ni fikra zako tu.
"Mtoto wa haramu' ni yule anaepatikana nje ya ndoa. Elewa kuwa hapo ina maanisha baba na mama yake walifanya haramu, uzinzi au uasherati nje ya ndoa halali. Waliofanya haramu ni wazazi sio mtoto aliyepatikana.
Mada ni vituo vya "yatima" sio uharamu na uhalali wa watoto isipokua nimeona nikuweke sawa tu.
Umekosea, nani alee wajukuu? Unanchkesha! Wajukuu wana wazazi wao.Unaweza ukawa na hoja nzuri, ila ukakosa maneno yanayofaa kuiwasilisha. Badala yake, ukajikuta unaongea upumbavu, ujinga na ushenzi uliovuka mipaka kwa binaadam yeyote aliestaarabika!
Uzoefu wangu wa JF unaniambia wewe ni mtu mzima kabisa, pengine unalea wajukuu. Kwa umri wako unaona ni sahihi kuwakejeli wanaolelewa kwenye vituo vya watoto yatima? Wewe ni punguwani!
Eti "I was not raised in an orphanage", like serious? Was it your choice? Do you think these children chose to be there? And how on earth do you think this i something to brag about?
Unapata wapi jeuri ya kuwaita binadamu wengine "haramu"? Umewaumba wewe? Kwani wakati wazazi wako wanaingiliana ili wakuzae walikushirikisha? Walihitaji maoni yako? Sasa how does it make you better than them mpaka uwaite haramu?
Nchi imejaa umasikini hii, watu wanajitolea kuwasaidia yatima unaowaita "haramu", alafu unakuja kuandika upuuzi. Kabisa unataka tukusikilize wewe unaewaita haramu, na tuwadhibiti wale wanaojitolea kuwalea, unaakili kweli?
Hakika, umri sio busara. Hata wapumbavu huzeeka!
Wacha uongo na ujinga juha wewe.BIBI
Sasa umekuwa mpuuzi kupita maelezo ni Bora Ukae Kaa Chini na kufikiria kabla hujaandika kitu
Unapata wapi Nguvu ya Kumwita Mtoto wa mwenzio Wa haramu ( Unajua ni maana ya Haramu wewe)
Kwani wao mimba zao zilitungwaje Kwa nji ya mdomo au kuwa serious punguza upuuzi na ujinga
Ukweli uko palepale, "watoto wa haramu* sio "watoto haramu"Vituo vya Yatima (Orphanages) ni biashara ya utumwa
Vingi vimejaa watoto waliopatikana kwa njia haramu (watoto wa zinaa na uasherati). Mpuuzi sana wewe, imani yako isikufanye ukose utu kwa mtoto asie na kosa. Toa hukumu yako kwa mzazi na si mtoto asie na hatia "Mpuuzi" mimi su anaezaa watoto wa uzinzi na uasherati akawa haramu?www.jamiiforums.com
Wewe huelewi hata maana ya dini.Hizi dini/Imani zinatuharibia sana utu, unawezaje kumuita binadamu mwenzako kuwa ni tunda/zao la uasherati? Hivi Kuna mtu anaependa azaliwe kwa njia hio? Kote nakubaliana na wewe Ila kwa hii statement, HAPANA aiseeee!
Mbegu au hatua ya kuzaliana huwa hainaga hizo Habari za zinaa au uasherati! MUNGU ndio anayeruhusu Uumbaji utokee. Shukrani
Hayo yote uliyoandika bado hujanukuu nilivyoandika kwenye post yangu. Kanisome tena. Hujuwi kusoma au unataka kubadilisha maneno? Huwezi kushindana na ukweli.Ukweli uko palepale, "watoto wa haramu* sio "watoto haramu"
Tendo lililotumika kuwapata ndio haramu
Simu zilikuepo? Majengo ya madrasa yalikuepo? Tasbihi zilikuepo? Ficha ujinga wako KidogoWewe huelewi hata maana ya dini.
Hakuna kituo cha yatimankatika mafundisho ya Uislam. Ystima alelewe na ahli zake, sio kwenda kumfanyqa kinyago cha kuomba dua zinapoletwa sadaka.
Vituo vya yatima ni unyànyasaji na kujenga tabaka ya watumwa maisha.
Iwe cha kidini au binafsi, Havifakuwrpepo kwenye jamii yenye maadili.
Hao itakuwa babu zako.Ila Faiza.....
Huwa una point muhimu lakini hii dini tuliyoletewa na waarabu inakufanya usijue uandike lipi na uache lipi.
Matokeo yake andiko lako zuri unaliharibu.
Kwa kuwa upo Afrika basi ujue kabia kwenye ukoo wenu wapo waliozaliwa kiharamu na Hadi wewe ukazaliwa ndio zikaanza itikadi za uharamu na uhalali. Mababu zetu hawakuwa na uislam wala ukristo.
Mwisho kabisa hakuna mtoto anayependa kuzaliwa nje ya ndoa. Inatokea tu, na ndio Qadar yake, ingekuwa Allah hajapanga azaliwe basi asingezaliwa.
Wewe unaongea kijuha, Tuambie zilitumika technolgy zipi Aztec na Giza.Simu zilikuepo? Majengo ya madrasa yalikuepo? Tasbihi zilikuepo? Ficha ujinga wako Kidogo
Acha ujuha wewe, enzi za Giza my foot....acha ujuaji wa kijinga! Huna moral authority ya kuwaita Yatima watoto haramu! Shut up Faiza kama unateseka nenda na wewe kafungue, bytheway miccm si ndio inaendesha baadhi ya vituo?Wewe unaongea kijuha, aTuambie zilitumika technolgy zipi Aztec na Giza.
Mada hapa ni vituo vya "yatima".
Hata maana ya "madrassa" huielewi, Utaielewa maana ya tasbih? Au umekurupuka tu.
Cheki hapa:Wabongo mna maisha ya wivu sana, mkiona watu wanafanya projects zao mtaingiza fikra potofu, mnapenda kuona watu wakiteseka tu 💩💩💩
Vingi vimejaa watoto waliopatikana kwa njia haramu (watoto wa zinaa na uasherati).
Mpuuzi sana wewe, imani yako isikufanye ukose utu kwa mtoto asie na kosa. Toa hukumu yako kwa mzazi na si mtoto asie na hatia
ichi kinyanya kijuaji kupitiliza alafu kina lugha chafu mpaka kwa waislam wenzie.duh, naona mada ishapindishwa ju kwa ju