"Viumbe wasioonekana" wajenga Msikiti wa kisasa nchini Comoro. Maneno haya ya Sheikh Al hajj Dr sulle ni ya kweli?

DINI YA MAJINI, INATUMIA NGUVU NA RUSHWA KUPATA WAFUASI, UKISHAJIUNGA NI ZAIDI YA JELA, UKIJITOA ADHABU NI KIFO. UNATARAJIA MKUU WA HIYO DINI NI NANI? HUWA NAWASHANGAA SANA WANAOSEMA TUNAMWABUDU MUNGU MMOJA. WAKATI DINI MOJA MAJINI YOTE NI MASHETANI DINI NYINGINE WANA WAPETI PETI MAJINI, KUYAFUGA, KUISHI NAYO, KUSALI NAYO NA KUYATUMA
 
Tatizo ni uelewa tu hapa, wengi wetu tuna maana mbaya sana juu ya majini. Ila ukweli ni kuwa kisichoonekana haimaanishi hakipo, majini wapo wazuri na wabaya pia.
Wasioelewa mambo ya kiroho tunaweza tukauliza maswali sana juu ya hili.
 
Kwahiyo wamejenga msikiti?
 
Hicho alichokisema huyo sheikh unakiamini?
 
Basi nilifikiri hiyo video inawaonyesha hao majini wakijenga, kumbe anaonekana msimulizi tu! Kalagha baho.
 
ndugu yangu huu ni upumbavu wanaotuletea ktk dini yetu hata mm nimefkr km mawazo yk,mwishowe nikamuona huu km kapungukiwa na akili
 
Tatizo ni uelewa tu hapa, wengi wetu tuna maana mbaya sana juu ya majini. Ila ukweli ni kuwa kisichoonekana haimaanishi hakipo, majini wapo wazuri na wabaya pia.
Wasioelewa mambo ya kiroho tunaweza tukauliza maswali sana juu ya hili.
Wewe uliwaonea wapi making mpaka ukawagawq makurdi na sifa ipi inamfanya jini awe mwema au mbaya?
Dining hii uongo ni mwingi saba ndo maana kazi yake kuu ni kuokoteza aya za dini nyingine! Wimara wa uislam unategemea sana dini zingine!
 
Majini Sports Club ndio walienda kuyachukua hapo comoro na kumtupia Mayele
Pale Jangwani kuna masheikh bingwa sana!
😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…