"Viumbe wasioonekana" wajenga Msikiti wa kisasa nchini Comoro. Maneno haya ya Sheikh Al hajj Dr sulle ni ya kweli?

Tatizo ni uelewa tu hapa, wengi wetu tuna maana mbaya sana juu ya majini. Ila ukweli ni kuwa kisichoonekana haimaanishi hakipo, majini wapo wazuri na wabaya pia.
Wasioelewa mambo ya kiroho tunaweza tukauliza maswali sana juu ya hili.
Mkuu na wewe ni wale mnaosubiri mabikra 72 mkifika mbinguni?
 
Huyu si ndio anasifiwa SHEIKH MSOMI....
ni mjanjamjanja hivi, anaidanganya sana jamii yake ya kiislam kuwa ni msomi wa maandiko matukufu/matakatifu kumbe anafanya abrakadabra tu apate mkate wa maisha yake. Hana tofauti na wale wengine wadanganyao wenye shida kuwa wanaponya kwa kutumia miujiza ya maji na mafuta ya upako
 
Unaamisha mada kwa nguvu zote shehe ndo amesema msikiti umejengwa na majini wewe unaleta habari za wachungaji
 
Comoro kuna umaskini sana swali la kujiuliza kwanini watu wasiende kuomba ili shida zao ziondoke
 
Hatuabudu Mungu mmoja bali tofauti
Wakristo wana-ushirika na Roho mtakatifu na malaika
Huku waislamu wakiwa na ushirika wa majini wazuri
 
Katika wote wachangiaji humu nimeona wamesema kuwa Majini ni Malaika walioasi..

Hiyo Tafsiri wanaipata wapi?
Je Majini na Mapepo ni sawa?
Spirit "Mapepo" na "Jinns" je ni sawa?

Kuhusu Malaika walioasi si biblia inasema wamefungwa Kuzimu mpaka siku ya Hukumu hao waliopo Duniani wametoka wapi?

Yuda 1:6

Nafikiri Somo la Majini kwa wakristo pamoja na baadhi ya waislamu Bado ni Gumu sana kwao
 
Hapo ndipo waafrika huwa tunaonekana na IQ ndogo. Ndio maana wanataka kutuangamiza tupotee kwenye uso wa dunia
 
Huwa tunawashauri ndugu zetu waislamu wasome elimu dunia ndio wawe masheikh,ona Sasa wanavyokutana navyo,ni mambo ya ajabu kabisa ambayo hata wa la kwanza anajua ni uongo
 
Kwenye Quran kuna Sura ya majini. Saudia kuna msikiti wa majini

Al Jinn
72:8 Nasi tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo

72:9 Na hakika tulikuwa tukikaa humo katika baadhi ya makao ili kusikiliza; lakini sasa anaye taka kusikiliza atakuta kimondo kinamvizia!
 
Huwa tunawashauri ndugu zetu waislamu wasome elimu dunia ndio wawe masheikh,ona Sasa wanavyokutana navyo,ni mambo ya ajabu kabisa ambayo hata wa la kwanza anajua ni uongo
Hata mimi nilikuwa nafikiria kama wewe elimu dunia.
Elimu dunia ni elimu ya kusomea mambo yasiyoonekana kama majini, kuzimu, uganga n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…