Viungo vya binadamu (idadi kubwa) vyaokotwa Bunju-Machimbo

Naona kama miujiza vile,hv hii ni move ya ukweli au kiini macho?anyway kwa vile BBC hawasemi uongo.

Itapendeza Kamanda wa polisi akilitolea maelezo kitaaluma/halisia badala ya siasa. Mungu atunusuru sana hii inatisha
 
Hujanishawishi....ila nina taarifa za kuharibika kwa incinerator ya Muhimbili na haijarekebishwa kwa ukata wa Pesa..
 
We mwehu mleta mada yaani viungo vya binadam mwenzio unasema taka?we makalio Kweli labda viungo vya babayako.

Unafahamu nimetumia neno ''taka'' in which context??

Tuliza akili, kama hujui kufafanua Jambo kutokana na ufinyu wa fikra ulionao lawama kwa wazazi wako na serikali yako ya CCM iliyokunyima elimu siyo unatuletea ujinga wako hapa!
 

Hili swala la kawaida sana mkuu, mie hata ile jana walivyopost humu nikawaambia kuwa kunauwezekano mkubwa vikawa vinatoka mahospitalini, nikatolea mfano Mwanza kunakipindi inakua vigumu kuteketeza mabaki yote au maiti zote wanachofanya huzikatakata na kwenda kuzidump kwenye dampo ya Buhongwa, ni kitendo cha kutisha na cha kikatili lakini ndo ivyo ni kawaida sana mahospitalini.
 
hii taarifa iko hapa tangu jana saa mbili usiku. Moderator unganisha hii thread na ile ya jana usiku.
 
Last edited by a moderator:

Ahaaa! kwani hospital inamiliki viungo vya binadamu, viungo hivyo ni vya binadamu, watueleze utaratibu uliotumika mpaka wakavipata.
 

sio Tanzania kwetu. gharama ya kutengeneza hayo madude ya kutumia zaidi ya wanafunzi 150 wa MUHAS si zinanunua vifaa vingine vya kufundishia? huku inatumika miili halisi
 
Mleta Uzi ameleta Uzi bila maelezo ya kina ili awe wa kwanza Ku post
 

kumbe Ni cadaver bwana..
 
Ahaaa! kwani hospital inamiliki viungo vya binadamu, viungo hivyo ni vya binadamu, watueleze utaratibu uliotumika mpaka wakavipata.

Mala nyingi inakuaga zinatokana na maiti zilizokosa utambuzi, viungo vilivyokatwa kutokana either na accidents au kuharibiwa na magonjwa, ni kawaida sana sema tu vile kwa watu wa kawaida hawakuwahi kujua wala kudhania kuwa kuna hili so lazima washtuke.
 
Unafahamu nimetumia neno ''taka'' in which context??

Tuliza akili, kama hujui kufafanua Jambo kutokana na ufinyu wa fikra ulionao lawama kwa wazazi wako na serikali yako ya CCM iliyokunyima elimu siyo unatuletea ujinga wako hapa!

shule za kata ni janga aisee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…