Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona kama miujiza vile,hv hii ni move ya ukweli au kiini macho?anyway kwa vile BBC hawasemi uongo.
We mwehu mleta mada yaani viungo vya binadam mwenzio unasema taka?we makalio Kweli labda viungo vya babayako.
Ninavyojua mwili ww binadamu,hauwezi kutumika kama muhusika hajaridhia au jamaa zake.Hata kama kutakuwa na idhaa ya wahusika,mbona miili hiyo Ni mingi sana❓,Ni lini utamaduni huu wa watu kuridhia miili Yao kutumika imeshika Kasi namna hii❓Pamoja na hayo yote,huu Ni utu❓,Ni lini tutakuwa na utamaduni wa kuwajibika❓,nini maana ya ubinadamu sasa ❓Aaagh‼
Kitendo hicho ni cha kinyama mno. Kokote kule huo mzigo ulikotoka walipashwa aidha wachome moto au wachimbe shimo wafukie sio kutupa namna ile ambapo wananchi tayari tumeona na tunajiuliza kulikoni? Ni heri wangeenda kwa mkiti serikali ya mtaa kuomba kibali cha kutupa taka zisizokuwa za kawaida ktk eneo lake!
Polisi watupe taarifa inayoeleweka.
Kama viungo hivyo vimetoka hospitali kwa nini wameviweka mpaka vikawa vingi kiasi hicho!
Hayo ni mabaki ya teaching AIDS aina ya CADAVER ,Ni mfano wa umbo la mwanadam kwa kila kitu lakini ni man-made na huwa kama plastic.Wanafunzi wanafanya mafunzo kwa vitendo na kusoma Blood-system na muscles za mwili.Kinacho kuwa tatizo ni kwamba njia waliyotumia kuyahifadhi baada ya kuwa used ndo imeleta utata.Walitakiwa watumie hata kemikali kuyateketeza kuliko kufunga kwenge mifuko ya rambo na kupeleka dampo.
Poleni kwa mshtuko lakini asanteni wanachi mliotaka kujua undani wa swala hilo.
Atakua Mwinguluwe Mwemba Gaidi Maarufu Wa Tz
tatizo huwa wanatangaza kupotea kwao hata wakipatikana hawaji kutoa mlishonyuma
Habari Wakuu.
Kwa habari zilizothibitika ni kwamba masalia ya viungo vya binadamu vilivyotupwa maeneo ya Bunju yametoka Chuo cha Udakatari IMTU kilichopo Mbezi Beach Dar baada ya wanafunzi kumaliza kuyatumia kwa mazoezi ya Practical (Cadaver).
Imekuwaje vikatupwa Bunju?
Kwa kawaida taka hatari kama hizi huwa zina mfumo maalum wa kuteketezwa kwenye tanuru (kuwa incinerated).
Kwa hiyo taka hizi walizipeleka Muhimbili kwa ajili ya kuteketezwa lakini hawakuwa na fedha za kulipia hivyo Muhimbili wakashindwa kuziteketeza kwenye tanuru maalum.
Baada ya hapo ndipo wakaamua kuja kumwaga maeneo ya Bunju.
My Take : Serikali sasa iamke kutoka usingizini sasa na ichukue hatua za haraka ikiwemo kuwachukulia hatua kale wale wote waliohusika na huu uzembe kwani ni hatari kwa mazingira na afya za watu.
Ahaaa! kwani hospital inamiliki viungo vya binadamu, viungo hivyo ni vya binadamu, watueleze utaratibu uliotumika mpaka wakavipata.
Ahaaa! kwani hospital inamiliki viungo vya binadamu, viungo hivyo ni vya binadamu, watueleze utaratibu uliotumika mpaka wakavipata.
Unafahamu nimetumia neno ''taka'' in which context??
Tuliza akili, kama hujui kufafanua Jambo kutokana na ufinyu wa fikra ulionao lawama kwa wazazi wako na serikali yako ya CCM iliyokunyima elimu siyo unatuletea ujinga wako hapa!