MSUMBA BENNY
Member
- May 25, 2014
- 47
- 4
Nimeona picha za viungo husika. Kuna gloves na nyembe za upasuaji ambazo zimehifadhiwa pamoja na hivyo viungo. Japo sijui mazingira ya tukio, lakini ni muhimu pia kujua baadhi ya vyuo vya magonjwa ya tiba ya binadamu huwa vina dispose wapi mabaki ya cadavers wanazotumia...
Pyongyang kuna internet ya kuwasiliana na outside world kweli??.
Ninashaka na kauli yako kuwa upo N Korea.
me nipo eneo la tukio hapa
me nipo eneo la tukio hapa
me nipo eneo la tukio hapa
me nipo eneo la tukio hapa
Kweli mm hata mm nimetumiwa picha. Kama unazitaka 0717578124, zinatisha hauto weza kula nyama
unajua mleta mada kaileta issue hii kimzamzaa wkt kama ni kweli ni kitu si cha masihara.atupe habari kamili au yeye naye kaambiwa