Iron Lady
JF-Expert Member
- Mar 4, 2008
- 4,071
- 1,374
tetetettetteee haya lakini sasa we si ndio umesema zilizokaa muda mrefu.Itakuwa vizuri kama utaenda kuwauliza hospitali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tetetettetteee haya lakini sasa we si ndio umesema zilizokaa muda mrefu.Itakuwa vizuri kama utaenda kuwauliza hospitali
yes,yes.that's true...wakati mwingine hata nyama kupeleka buchani.Cha Ajabu hili gari lililobeba hii miili kukipambazuka utalikuta limebeba mihogo, machungwa na mananasi !!
Mkuu sio maiti zile,wala sio viungo halisi vya binadam.Ni teaching aids zinaitwa cadaver!.Yaan unatengenezwa mwil wa mtu kwa plastic ili kufundishia masomo ya udaktar katika vyuo.Hakukuwa na kiungo halis.
Mkuu sio maiti zile,wala sio viungo halisi vya binadam.Ni teaching aids zinaitwa cadaver!.Yaan unatengenezwa mwil wa mtu kwa plastic ili kufundishia masomo ya udaktar katika vyuo.Hakukuwa na kiungo halis.
Mkuu sio maiti zile,wala sio viungo halisi vya binadam.Ni teaching aids zinaitwa cadaver!.Yaan unatengenezwa mwil wa mtu kwa plastic ili kufundishia masomo ya udaktar katika vyuo.Hakukuwa na kiungo halis.
kauli bado iko palepale pale the clear information nilizonazo ni viungo vya binadamu na wala sio maiti zaidi ya 100.
tuelewane kwanza, wapo wagonjwa wakisukari wanakatwa miguu hata mikono na bodaboda wengi pia hukatwa miguu.
hapa tunasubili sasa clear statement ya polisi na wizara ya afya why this? na ni nani anawajika au kuwajibishwa.
ooooh! Sasa nimeelewa, nashukuru mkuu kwa kuniweka sawa, ila na baadhi ya vyombo vya habari vimeiwasilisha hii habari vibaya. Nilikuwa na hofu. Sasa hawa baadhi ya wanajamvii wenzangu wanaongea mambo ya "damu" na kidogo ilinichanganya. ASANTE kwa kunijuza.
Hahahah,mkuu kila kitu kina wakati wake wa kutumika na hata ku-expire.Kuna haja gani ya kutumia Teaching-Aids mfululizo miaka 5/7,wakati zipo zingine?.Muda wake uliisha na zilitakiwa kubadilishwa ziletwe nyingine ama zitupwe kwenye tanuru kama ilivo kawaida.
Kwan mkuu hujasoma hata sayansi form2 ?.Zile chemicals zikikaa sana kuna wakati hata uchanganye vipi hafanyi reaction yoyote maana zimepitwa muda na zinahitaji kubadilishwa.Hiyo ni kawaida na sio mara ya kwanza kutokea sema mara zote huwa wanachoma katika tanuru sio kutupa hadharan kama hivi.
Taifa hili sasa linalazimishwa kuonekana kama la MAJUHA, YAANI CHIBI KUMEOZA, KATI KUMEOZA NA JUU AMBAKO NDIO KUNA RUNGU LA MAAMUZI KUMEOZAHili suala si dogo. Linahusu ubinaadamu wetu. Ile ni miili ya ndugu,jamaa na marafiki zetu.Hata kama ilikuwa ikitumika kisayansi,bado haikupoteza thamani yake kama ni miili ya binaadamu na hivyo heshima,staha na taratibu zilipaswa kufuatwa. Majibu kuhusu wapi imetoka miili ile ya Bunju hapa hayatakuwa na uzito bila ya kwanza kukubali kuwa kulikuwa na makosa juu ya kushughulika na miili ile.
Kwa majibu yoyote, hali ile haivumiliki. Iwe imetokea IMTU au kwingineko, yupo mtu au wapo watu wa kuwajibika. Hata kama ilikuwa ikitumika kisayansi,zipo taratibu za kushughulikia miili ile ikiwa ni pamoja na namna ya kuiteketeza.Mifuko ya rambo si namna ya kuiteketeza hata kama mimi si mwanasayansi. Kuitupa si jambo linalokubalika. Kwanza,kuitupa kiholela vile,kulihatarisha amani.Yangekosa mabomu ya Polisi,muda huu yangezungumzwa mengine.
Nitoe rai kwa wahusika wote wa sakata la jana la miili ya Bunju kujipima na kuwajibika. Tasnia yoyote ina miiko yake. Ya sayansi jana ilikiukwa. Yupo wa kuwajibika. Atambuliwe au ajitambue na kuwajibika haraka iwezekanavyo.
Maana yake ni kwamba hakutakuwa na wa kuwajibika wala kuwajibishwa, subiri uone watakavyosukumiana lawama na kila mmoja kujaribu kukwepa kadhia hii.Taifa hili sasa linalazimishwa kuonekana kama la MAJUHA, YAANI CHIBI KUMEOZA, KATI KUMEOZA NA JUU AMBAKO NDIO KUNA RUNGU LA MAAMUZI KUMEOZA
Taifa hili sasa linalazimishwa kuonekana kama la MAJUHA, YAANI CHIBI KUMEOZA, KATI KUMEOZA NA JUU AMBAKO NDIO KUNA RUNGU LA MAAMUZI KUMEOZA
Bravo,tuwakilishe vyema!Mkuu naelewa yote hayo na elimu niliyonayo ni zaidi ya Sayansi ya form two; na hata sasa niko nje ya Tz nikipata elimu zaidi.
Ndo mana nikasema ni uzembe katika uwajibikaji!Hawakutakiwa kutupa mahala pale maana huwa kuna tanuru maalum la kuteketeza vitu hizo.Ni kweli chemicals zinabadilishwa kwa sababu ya expiry period. Sasa vipi kuhusu miili ya binadamu mabaki/residual aka cadaver za binadamu kama teaching aids, zinapotupwa ina maana miundo/mifumo (anatomy) ya binadamu imebadilika na sasa madaktari wanatakiwa kusomo mifumo mingine. Just kidding lakini, nataka utumie nafasi hii kutoa elimu kwa Umma kuhusu tiba ya binadamu, ingekuwa kule SUA jamii ingeona cadaver za wanyama ama sivyo ????
Anyway, najua maiti zinatumika na hata kuazimwa kutoka mabara mengine, lakini ni siri ila kwa sababu ya uzembe na kutowajibika uliopo nchni mwetu siku hizi ndio maana haya yamegundulika na jamii za kawaida na kuanza kushangaa. Lakini vle vile afadhali limetokea na kutmika kama sehemu ya elimu kwa umma kuhusu taaluma ya matibabu. Mtu anapoenda hospitali, Daktari akafanyia operation na kushona au anaposafishwa kidonda ina maana Daktari au Muuguzi alishazoezwa kuona vitu kama hivyo, mtu wa kawaida kuona maiti tu ndani ya mortuary ni kazi,