At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
sawa mkuuOndokana na uvivu, tunaishi mara moja tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa mkuuOndokana na uvivu, tunaishi mara moja tu!
karibia mwezi sasa,
Hospital ipi hiyo?Nilikuwa na tatizo Kama lako..nikashauriwa ninywe mlonge..siku hizi sihisi kabisa hiyo hali.
Waweza enda hospitali kwa msaada zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh aisee kipi chakufanya sasa?Hiyo ni dalili ya kisukari kinakunyemelea
Sent using i phone x
wewe kucha za bandia mtoto wa kiume za nini?Wee huumwi yaani unaona uvivu kwenda hospital?na kingine acha kabisa kubandika kucha za bandia ndio madhara hayo yaanza kukutokea
bado ndio napiga hesabu niende lini hospital
una uhakika?Unanyemelewa na ukoma Siyo bure😂😂
okay, akhsante kwa ushauri wako.Nilikuwa na tatizo Kama lako..nikashauriwa ninywe mlonge..siku hizi sihisi kabisa hiyo hali.
Waweza enda hospitali kwa msaada zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
mmmmh nyinyi watu mbona mnanitishia.Hiyo ni dalili ya kisukari kinakunyemelea
Sent using i phone x
okay shukrani mkuu.Nenda hospitali kapime hiyo inawezekana ni dalili ya kisukari.
Ila nenda kaonane na Daktari ili upimwe kwa uhakika zaidi.
Kama hutaki achauna uhakika?
sawaKama hutaki acha