Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
- Thread starter
-
- #21
Hiyo ni structural arrangement mkuu. Ukiangalia vizur kuna specialisation hapo na kuna pyramid scheme ndani yake. Polarisation of povertyPole sana ndugu. Huko ndio kula kwa jasho, japo utokaji wa jasho unatofautiana. Wengine watoka jasho jingi sana kabla ya kupata mahitaji yao ya kila siku, wakati wengine wanavuja jasho kidogo tu.
Usikonde mzeeYote maisha
Hizi kazi bora upate fundi wa mtaani tu. Huchoki sana lakini hizi ya site mnapewa matoroli na udongo unachanganywa na mashine kwa uwiano wa mikokoteni minne kwa mifuko 3 ya sement alafu mnapangwa kwa troops. Mzee sio poa kabisa. Kazi za zege nazijua ila ile kibokoHahahaaa..unanikumbusha mbali sana mzee..Enzi hizo nimetoka kumaliza form six nikasema ngoja nitafute kibarua kuliko kukaa home kibwege..nikaenda zangu sabasaba maonesho msimu ulikuwa unakaribia kwa hiyo walikuwa wanakarabati majengo..kuna jengo moja lilikuwa linatakiwa kuchimbuliwa floor ya zege.Hapo ndio nilipata kazi ..upana wake au kimo cha hiyo zege ni kama nusu mita (Means kutoka juu kwenda chini).Alooh nilipiga sururu kama ishirini hivi nikaona viganja vinachanika..nikawaachia kazi yao nikasepa..kesho kuamka viganja vimeota malenge lenge hahahaa.
Hatari sanaU
Hizi kazi bora upate fundi wa mtaani tu. Huchoki sana lakini hizi ya site mnapewa matoroli na udongo unachanganywa na mashine kwa uwiano wa mikokoteni minne kwa mifuko 3 ya sement alafu mnapangwa kwa troops. Mzee sio poa kabisa. Kazi za zege nazijua ila ile kiboko
Jamaa siwezi kukupa pole Bali Nasema Hongera sana Kwa mapambano hayo unayopambna na hii unathibitisha wazi zana ya kwamba mwanaume haogopi/hachagui kazi.
Jamaa siwezi kukupa pole Bali Nasema Hongera sana Kwa mapambano hayo unayopambna na hii unathibitisha wazi zana ya kwamba mwanaume haogopi/hachagui kazi.
Mara zote Huwa ni hivyo pale unapoonza maana Nina uhakika una muda hujafanya kazi ngumu mkuu.
Wewe ni mwanaume kamili pambana ukiona mwili Bado unagoma si vyema ku force. Hongera sana
Mbagala hospitali hapa. Karibu sana njoo jumatat asubuhiHiyo site iko wapi....?
🤣🤣🤣.ukiona site unakaribishwa kimbiaaMbagala hospitali hapa. Karibu sana njoo jumatat asubuhi
Au sio? Unakula kiyoyozi hapo gobaHongera Kwa Kuwa Na Afya+Uhai ya Mifupa,,Damu Na Nyama Ya Kufanya Kazi,,Ni Kupambana "Dunia Haina Huruma"
Eeee mkuu mapumziko Hadi January Rafiki yanguShukran mkuu, soon narudi unguja.
Wanaotaka vifaa vya electronics kutoka huko tutaendlea kuwasiliana mkuu
Bado uko chimbo?
Estim si mlisema ya jakaya humu?China sio watu hao.
Fanya mpango uingie kwa muhindi estim.day 14,200 baada ya makato.kibarua huyo
Natakiwa nipate kama shilingi ngapi mkuu ili kiwe kitega?Tafuta pesa , ukipata mtaji tega uchumi.
Dah! Kweli kazi kaz... geita kuna biashara ya mchele kwenye mashine za kukobolea kuna dogo alinipigiaga hesbu zina mvuto sana. Unaifaham hata kidogo mkuuEeee mkuu mapumziko Hadi January Rafiki yangu