Viungo vyangu mwenyewe katika mwili wangu lakini vinagoma kunipa ushirikiano

Sisi watu wa ujenzi tunaona kawaida tu, ujenzi ni moja ya kazi maalum sana hapa duniani, Mungu alijenga boma, sisi tunafanya finnishing, unavyoshangaa uzuri na ukubwa wa jiji kama New york, ujue ni mikono ya mafundi ujenzi na vibarua wao, kuanzia majumba, madaraja, barabara, viwanja vya michezo, nk.
 
Utazoea tu izo kazi tunapiga sana
 
Dah! Kweli kazi kaz... geita kuna biashara ya mchele kwenye mashine za kukobolea kuna dogo alinipigiaga hesbu zina mvuto sana. Unaifaham hata kidogo m
Nimewahi kuifanya mwaka 2009-2012 mkuu. hii biashara ina faida kama mpunga ulinunua wakati mavuno then ukapaki kwa hadi mwezi wa11 unaanza kuuza hadi kwenye pasaka yaani usivuke nao mwezi wa4. utapata faida sana.
chukulia gunia unanunua kwa 60k sasa hivi japo sijauliza hivi karibu lilikuwa 95k ukikoboa kg1 sasa ni 1600-1700 fanya 1600x75. ambapo gunia huwa na wastani wa kg75 hadi 87 kwa waliobobea kupima ...hapo hutakosa 120k-130k mkuu. uchawi ni mtaji na uvumilivu
 
Sasa unajifananisha vipi na mzungu mkuu? Wale watu wana lishe zote.. mtu anakula broccoli, mushroom, anagonga mafruit salad ya kutosha. Tena amerahsisha kazi kwa vifaa vya kisasa. Kuna vitu vinabebwa mpaka na helicopter site
 
Na yeye alinipa hesabu kama hii. Alisema naenda kuzikusanya kwa wakulima lakini hili neno la kutunza hakulisema alisema watu wanatoka mwanza na majiji mengine kuja kununua mashne kwa bei ya kilo
 
Ina mana hata kulia mwanaume ndo ishindikane?
 
Na yeye alinipa hesabu kama hii. Alisema naenda kuzikusanya kwa wakulima lakini hili neno la kutunza hakulisema alisema watu wanatoka mwanza na majiji mengine kuja kununua mashne kwa bei ya kilo
Sahihi yaani kikubwa ununue wakati wa mavuno mfano mwezi wa sita kg1 ilikuwa na tsh100-1100 kwa sasa ni 1700 unaona kabisa kuna faida ya kuona pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…