Viungo vyangu mwenyewe katika mwili wangu lakini vinagoma kunipa ushirikiano

Dah!sijui hata nimeumia nini ila nimepata maumivu upande wa kushoto chini ya nyonyo
 
Sururu 20 ukatoka na lengelenge 😂
Ulikuwa soft sana ila sishangai kwa sababu dar watu wengi hawafanyi kazi za nguvu.
 
Mzee inauma sana pale ambapo unasimama na miguu ipo lakin unajiona kama uko juu ya baskeli mpaka uhakikishe kama miguu ipo kweli au lah
 
Mwache bwana bby wangu apambane akizipata ananipeleka kweli!achana na kiumbe kinaitwa mwanaume kina upendo wa ajabu kabisa
Imagine mtu humdai ila anakupa tu hela😂😂😂
Yani kanichekesha babe wako leo siku nzima nikikumbuka nacheka 😹😹😹

Kaua hapo aliposema mwili km yupo juu ya baiskeli 🤣🤣🤣
 
Kwahiyo unamkejeli ajae kwenye mfumo? 😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…