Viva Lissu, Viva! Pamoja nawe ukombozi utapatikana!

Viva Lissu, Viva! Pamoja nawe ukombozi utapatikana!

CCM kubaki wapi ndugu? Kama ni madarakani kama wapinzani wajinga, ungetaka wawasaidie kuwang'oa madarakani?

Hudhani demokrasia ingetamalaki chadema, CCM hata kama angekuwa adui angepitia wapi?

..vyama vingine vya upinzani si vipi?

..Je, Ccm na dola yake imeweka mazingira ya usawa kwa vyama na demokrasia kustawi?
 
..vyama vingine vya upinzani si vipi?

Kulikoni kuhangaika na wengine badala ya kujiangalia wenyewe?

Kwanini kila mtu asishinde mechi zake?

Kulikoni malalamiko yako Kwa wengine kwani wewe uko safi?

Unaelewa kwanini yesu alisema msinililie miye jililieni wenyewe?

Visingizio vya nini ndugu?

..Je, Ccm na dola yake imeweka mazingira ya usawa kwa vyama na demokrasia kustawi?

CCM wa Nini? Hiyo ni wa kufurushwa unceremoniously. Ungependa CCM akusabirie Nini?

Tunafikiria rationally kweli kamanda?
 
Kulikoni kuhangaika na wengine badala ya kujiangalia wenyewe?

Kwanini kila mtu asishinde mechi zake?

Kulikoni malalamiko yako Kwa wengine kwani wewe uko safi?

Unaelewa kwanini yesu alisema msinililie miye jililieni wenyewe?

Visingizio vya nini ndugu?

CCM wa Nini? Hiyo ni wa kufurushwa unceremoniously. Ungependa CCM akusabirie Nini?

Tunafikiria rationally kweli kamanda?

..Ccm ndio yenye wabunge wengi na serikali.

..kwa maana hiyo Ccm wana wajibu wa kutunga sheria zinazoweka usawa ktk demokrasia yetu.

..wapinzani wameshatekeleza wajibu wao wa kuwasilisha madai hayo tena, na tena.
 
Yaani Mbowe ndo anapoozesha mambo amwachie Lissu spidi ya ngiri mkia juu
 
Yaani Mbowe ndo anapoozesha mambo amwachie Lissu spidi ya ngiri mkia juu
Upo sahihi kabisa

Rejea kwenye maridhiano msimamo wa Lissu haukuamini kuja kupewa baazi ya majimbo

Na hakuwahi kuyaunga mkono maridhiano

Swala la hawa COVID-19 nalo litakigawa chama

Chama kinapaswa kutoka na maamzi mathubuti ya kukemea kwa wale wote ambao wanatumiwa na hao COVID 19 na wao wazibiwe

Sijui kwa nini CHADEMA inajisahau kwenye maamzi ambayo ilikuwa inayaishi

Kipindi cha ZITTO hata yule tu aliona kaonewa na yeye alitimuliwa uanachama na chama kilibaki imara
 
Kwanini kuishia kuona hatari tu bila kuwatolea uvivu machawa hawa?

Hatuoni kuwaonea haya wasio na haya hawa haisaidii?
Sioni aibu mkuu, na wala Sina haja ya kuona aibu. Lkn bado naunganisha dots, zikiungana watanikoma.
 
..Ccm ndio yenye wabunge wengi na serikali.

Hii inahusika nini na ukombozi wa nchi hii?

Ungependa wakusaidie wao kutoka madarakani?

..kwa maana hiyo Ccm wana wajibu wa kutunga sheria zinazoweka usawa ktk demokrasia yetu.

Ungetegemea CCM watunge sheria za kuwezesha usawa Ili watoke madarakani kirahisi?

..wapinzani wameshatekeleza wajibu wao wa kuwasilisha madai hayo tena, na tena.

Kwamba wameshanya wajibu wao wamepata nini?

Kama wanadhani wameshanya wajibu wao na wanadhani kazi yao imekwisha wangali wanafanya Nini?

SI waachie ngazi Kwa wenye kuamini tunachotakiwa kufanya Bado ndiyo maana kingali hakijapatikana?
 
Lisemwalo lipo, kama halipo linakuja:

1. Lissu aongezewe ulinzi. Kwa sasa, dhidi ya maadui wa ndani na nje.
2. Kuondoka chadema siyo option, tuna banana hapa hapa!
3. Kama busara haitamalaki, demokrasia na ichukue mkondo wake sasa!
Mmmm, hapa sijui nuchague timu ipi? Maana nimechanganyikiwa! Kweli CHADEMA IMEFIKA HAPA LICHA YA KUITISHA mAANDAMANO mbali mabali na wanachadema kuwaunga mkono, polisi kuwasindikiza, Samia kuwapa ruksa. Ahaa, kweli duniani matatizo hayaishi.
 
Sioni aibu mkuu, na wala Sina haja ya kuona aibu. Lkn bado naunganisha dots, zikiungana watanikoma.

Hata Erythrocyte, Retired, JokaKuu na wa namna hiyo wako kama wewe. Wako wanaunganisha dots milele!

Wanaogopa kumuudhi mwamba hata kama ndiye anayetugharimu.

Kwenye nyuzi nyingu Huwa tunaanza kusema:

"Ule mwendo wetu sasa hiiiiiii..
iiii! Au kimya kimya juu Kwa juu.

Full kukasirika macho pima kama mjusi kabanwa mlango."

imhotep au nasema uongo?

Ukweli mchungu hakuna ukombozi hapa na chadema hii labda ya Lissu!
 
Hii inahusika nini na ukombozi wa nchi hii?

Ungependa wakusaidie wao kutoka madarakani?

Ungetegemea CCM watunge sheria za kuwezesha usawa Ili watoke madarakani kirahisi?

Kwamba wameshanya wajibu wao wamepata nini?

Kama wanadhani wameshanya wajibu wao na wanadhani kazi yao imekwisha wangali wanafanya Nini?

SI waachie ngazi Kwa wenye kuamini tunachotakiwa kufanya Bado ndiyo maana kingali hakijapatikana?

..wewe ni wa jana.

..wewe ni Mbowe, Mbowe,...kila siku.

..kabla yako walikuwepo waliokuwa wakifoka Lipumba,Lipumba,...kila siku.

..na kabla kulikuwa na makelele ya Mrema, Mrema,...kila kukicha.

..matatizo yetu Watanzania -- ya kiuchumi, kijamii, kisiasa, chanzo chake sio Mbowe, wala vyama vya upinzani, bali CCM.
 
Hata Erythrocyte, Retired, JokaKuu na wa namna hiyo wako kama wewe. Wako wanaunganisha dots milele!

Wanaogopa kumuudhi mwamba hata kama ndiye anayetugharimu.

Kwenye nyuzi nyingu Huwa tunaanza kusema:

"Ule mwendo wetu sasa hiiiiiii..
iiii! Au kimya kimya juu Kwa juu.

Full kukasirika macho pima kama mjusi kabanwa mlango."

imhotep au nasema uongo?

Ukweli mchungu hakuna ukombozi hapa na chadema hii labda ya Lissu!
Weka uzi hapa brazaj unaomchana makavu laivu huyo mwamba kuhusu maovu yake ili mimi pamoja na hao wengine tujiridhishe pasipo shaka na tuanze kumpa za uso.

Binafsi bado sijapata concrete evidence kuhusu yanayosemwa juu ya mwamba.
 
..wewe ni wa jana.

Bila shaka huna uhakika ndugu.

..wewe ni Mbowe, Mbowe,...kila siku.

Wa Kila siku maana yake Nini? Kung'ang'ania madaraka kwake yaonesha una maslahi nako binafsi hata kama si ya chama.

Hata chawa wake Wana Mawazo kama Yako. Kwani wewe ni mmoja wao?

..kabla yako walikuwepo waliokuwa wakifoka Lipumba,Lipumba,...kila siku.

Kabla yako walikuwapo wengine Kwa sababu Alfa na omega ni subhana peke yake.

..na kabla kulikuwa na makelele ya Mrema, Mrema,...kila kukicha.

Makelele ni subjective. Kilicho kelele kwako si Kwa Kila mtu.

Hii kujihesabia haki Huwa mnaiokota wapi?
..matatizo yetu Watanzania -- ya kiuchumi, kijamii, kisiasa, chanzo chake sio Mbowe, wala vyama vya upinzani, bali CCM.

Wapi nani anaongelea uchumi, kijamii, au hata siasa za nchi hii kuwa chanzo ni Mbowe?

Tunaongelea matatizo ya demokrasia ya Mbowe na Chadema na gapo ndipo anapotukwaza.

Tunataka demokrasia chamani.

Kwani wewe na nani hamtaki demokrasia chamani?
 
Back
Top Bottom