- Thread starter
- #41
Weka uzi hapa brazaj unaomchana makavu laivu huyo mwamba kuhusu maovu yake ili mimi pamoja na hao wengine tujiridhishe pasipo shaka na tuanze kumpa za uso.
Binafsi bado sijapata concrete evidence kuhusu yanayosemwa juu ya mwamba.
Tuna haja gani ya kuandika Uzi kuhusu mtu?
Kwanini tusiandike nyuzi kuhusu demokrasia Chadema?
Watu huja na kwenda lakini demokrasia itabaki.
Wasiopenda demokrasia, wakiwamo viongozi na chawa wao ni mzigo tusiopaswa kuwaonea haya.
Kwa hakika kama ni mbwai na iwe mbwai!
Kwani hata kwenye uzi huu chawa chawa si unawaona?