CCM kubaki wapi ndugu? Kama ni madarakani kama wapinzani wajinga, ungetaka wawasaidie kuwang'oa madarakani?
Hudhani demokrasia ingetamalaki chadema, CCM hata kama angekuwa adui angepitia wapi?
..vyama vingine vya upinzani si vipi?
..Je, Ccm na dola yake imeweka mazingira ya usawa kwa vyama na demokrasia kustawi?
Kulikoni kuhangaika na wengine badala ya kujiangalia wenyewe?
Kwanini kila mtu asishinde mechi zake?
Kulikoni malalamiko yako Kwa wengine kwani wewe uko safi?
Unaelewa kwanini yesu alisema msinililie miye jililieni wenyewe?
Visingizio vya nini ndugu?
CCM wa Nini? Hiyo ni wa kufurushwa unceremoniously. Ungependa CCM akusabirie Nini?
Tunafikiria rationally kweli kamanda?
Upo sahihi kabisaYaani Mbowe ndo anapoozesha mambo amwachie Lissu spidi ya ngiri mkia juu
..Na CCM kubaki unaona ni sawa.
Naunga mkono hoja asilimia 💯☑️Naunga mkono hoja
Ni hoja nzito
Hatari sana
Sioni aibu mkuu, na wala Sina haja ya kuona aibu. Lkn bado naunganisha dots, zikiungana watanikoma.Kwanini kuishia kuona hatari tu bila kuwatolea uvivu machawa hawa?
Hatuoni kuwaonea haya wasio na haya hawa haisaidii?
..Ccm ndio yenye wabunge wengi na serikali.
..kwa maana hiyo Ccm wana wajibu wa kutunga sheria zinazoweka usawa ktk demokrasia yetu.
..wapinzani wameshatekeleza wajibu wao wa kuwasilisha madai hayo tena, na tena.
Hoja mujaribuUkweli mchungu aliyefura kwa hasira kama hakulipwa kumbe anataka nini?
Mmmm, hapa sijui nuchague timu ipi? Maana nimechanganyikiwa! Kweli CHADEMA IMEFIKA HAPA LICHA YA KUITISHA mAANDAMANO mbali mabali na wanachadema kuwaunga mkono, polisi kuwasindikiza, Samia kuwapa ruksa. Ahaa, kweli duniani matatizo hayaishi.Lisemwalo lipo, kama halipo linakuja:
1. Lissu aongezewe ulinzi. Kwa sasa, dhidi ya maadui wa ndani na nje.
2. Kuondoka chadema siyo option, tuna banana hapa hapa!
3. Kama busara haitamalaki, demokrasia na ichukue mkondo wake sasa!
Sioni aibu mkuu, na wala Sina haja ya kuona aibu. Lkn bado naunganisha dots, zikiungana watanikoma.
Hii inahusika nini na ukombozi wa nchi hii?
Ungependa wakusaidie wao kutoka madarakani?
Ungetegemea CCM watunge sheria za kuwezesha usawa Ili watoke madarakani kirahisi?
Kwamba wameshanya wajibu wao wamepata nini?
Kama wanadhani wameshanya wajibu wao na wanadhani kazi yao imekwisha wangali wanafanya Nini?
SI waachie ngazi Kwa wenye kuamini tunachotakiwa kufanya Bado ndiyo maana kingali hakijapatikana?
Weka uzi hapa brazaj unaomchana makavu laivu huyo mwamba kuhusu maovu yake ili mimi pamoja na hao wengine tujiridhishe pasipo shaka na tuanze kumpa za uso.Hata Erythrocyte, Retired, JokaKuu na wa namna hiyo wako kama wewe. Wako wanaunganisha dots milele!
Wanaogopa kumuudhi mwamba hata kama ndiye anayetugharimu.
Kwenye nyuzi nyingu Huwa tunaanza kusema:
"Ule mwendo wetu sasa hiiiiiii..
iiii! Au kimya kimya juu Kwa juu.
Full kukasirika macho pima kama mjusi kabanwa mlango."
imhotep au nasema uongo?
Ukweli mchungu hakuna ukombozi hapa na chadema hii labda ya Lissu!
Ni mda Mbowe aondoke chadema umeona Lissu anamsema msigwa jua kuna jambo mambo anayoongea msigwa uenda yana ukweli ndani yakeMbowe aondoke ndipo CHADEMA itapata afya.
..wewe ni wa jana.
..wewe ni Mbowe, Mbowe,...kila siku.
..kabla yako walikuwepo waliokuwa wakifoka Lipumba,Lipumba,...kila siku.
..na kabla kulikuwa na makelele ya Mrema, Mrema,...kila kukicha.
..matatizo yetu Watanzania -- ya kiuchumi, kijamii, kisiasa, chanzo chake sio Mbowe, wala vyama vya upinzani, bali CCM.