Viva Lissu, Viva! Pamoja nawe ukombozi utapatikana!

Weka uzi hapa brazaj unaomchana makavu laivu huyo mwamba kuhusu maovu yake ili mimi pamoja na hao wengine tujiridhishe pasipo shaka na tuanze kumpa za uso.

Binafsi bado sijapata concrete evidence kuhusu yanayosemwa juu ya mwamba.

Tuna haja gani ya kuandika Uzi kuhusu mtu?

Kwanini tusiandike nyuzi kuhusu demokrasia Chadema?

Watu huja na kwenda lakini demokrasia itabaki.

Wasiopenda demokrasia, wakiwamo viongozi na chawa wao ni mzigo tusiopaswa kuwaonea haya.

Kwa hakika kama ni mbwai na iwe mbwai!

Kwani hata kwenye uzi huu chawa chawa si unawaona?
 
Ni mda Mbowe aondoke chadema umeona Lissu anamsema msigwa jua kuna jambo mambo anayoongea msigwa uenda yana ukweli ndani yake

Tofautisha kuondoka madarakani na kuondoka chamani.

Kuondoka chamani ni hiari yake ila kuondoka madarakani Gen Z mabadiliko ndiyo vipaumbele yao.
 
Kwani Lissu kafanywaje?

Kama ilivyo kawaida yake ameendelea kuonyesha upendo wake mkubwa kwa chadema, Tanzania, haki na demokrasia Kwa ujumla.

Huyu anajua maana halisi ya haki Kwa Kila mtu wawemo mashoga, wapalestina, watuhumiwa, watanzania, nk.

Huyo hanunuliki na msimamo wake ni thabiti zero tolerance kwa COVID-19.

Misimamo yake kuhusu katiba mpya ni ule ule, kuwa hiyo ni ya kupiganiwa si kupewa.

Huyo Hana chawa.

Nk nk.

Kwa hakika ni nani kama Lissu?
 
Kweli, mwamba kachoka aachie uenyekiti wachukie wengine wenye energy mpya watuvushe

Inaonekana kama vile mwamba kacompomise na samia sijui kalamba asali na viapo! au amekuwa docile sana
Simuoni kama an guts za kumpinga mama kwa dhati bila unafiki

Hatari ni pale rushwa ya abdul kama imemfikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…