Vivutio vya utalii Tanzania na faida za utalii wa ndani


Asavali ya wewe
 
Tanzania ni nchi ya pili duniani kwa vivutio vya utali. Ina milima na mabonde mistu mbuga na wanyama wengi wa kutosho lkn pamoja na vivutio vyote hivyo watalii akuna wa nje mpaka wa ndani tatizo ni nini tumelogwa?

Ndio.nina uhakika tena kwa asilimia 100

umesikia wapi?.. Dr nagu ktka taarifa yake amesema ni nchi ya tano wewe unasema ya pili ukiitwa chaumbea si ni haki yako kabisa acha kukurupuka.
 

Mh! hizi data (source) yake ni wapi? unajua idadi ya watalii wanakuja Tz. kwa mwaka ukilinganisha na Kenya ikoje? na hata kama una vivutio vingi wakati hakuna watalii ina maana gani?

Uwe unakula kwanza kabla ya kutumia 'ile kitu'.

huyo mtoa mada ni wale wanaosikia maneno vijiweni wanakurupuka bila kufuatilia .
 
Toka enzi za Hayati Nyerere inafahamika kuwa Taqnzania ni nchi yenye wanyama Twiga ambao ni adimu Duniani. na ndio maana ilikuwa inapoonekana ndege yenye picha ya Twiga kwenye mbawa zake moja kwa moja tulikuwa hatuulizi ni ndege gani ile kwani tunajua ni Air Tanzania.

Lakini kutokana na uroho wa Viongozi wetu hawa Wanyama Tanzania itafikia wakati watapotea wote kama wanavyopotea Tembo. Yaani hawa Viongozi Waroho watamani hata Mlima Kilimanjaro kungelikuwa na uwezo wa Ku uuza nje basi wangelifanya hivyo.

Kizazi cha watoto wetu watasoma ktika Historia na kuona picha za Twiga na Tembo tu. Viongozi waroho watawamaliza wote, mwisho wa siku sisi Watanzania ndio tutakuwa Watalii kaika nchi za wenzetu kuangalia Twiga na Tembo.

Na Wazungu hawatakuja tena Tanzania kwani kutakuwa hakuna vivutio tena.

Ni wakati umefika kwa Watanzania kuamka kwa kulinda maliasili na vivutio vyetu kwa maslahi ya Taifa na kizazi cha Watoto wetu.


MUNGU IBARIKiTANZANIA, MUNGU WALAANI MAFISADI NA WENYE UROHo TUNAOMBA WAFE LEO ILI WATUACHIE TANZANIA YETU IKIWA BADO INAPENDEZA........AMEN


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
!
!
steven wassira, anna makinda, pinda na komba hizi ni species ambazo huwezi kuzikuta mahali popote duniani, popote. Tulideserve namba moja, majaji hawakuwa fea kwa kweli. Sokwe bungeni tena waziri, only in Tanzania na bado eti wa pili. Nimemaind mno.
 
Pia ni nchi ya kwa kuongoza kwa wizi wa fedha
 
sitaki niamini hilo zaidi sie wa tz tumekuwa mabingwa ktk kujisifia ili hali uhalisi sio hata soko la samaki tu ferry tunasema ndilo kubwa na bora kusini jangwa la sahara nenda holili ofosi za tra za kenya ni bora acha na wansoko bora kabisa ila za tz zilizinduliwa na waziri na kusifiwa kuna kila kitu. jiulize sawa tuna vivutio sasa je hao wanaovitembelea wangapi kwa mwaka kulinganisha na nchi japo ya kumi tu je hicho wanachotoa kiko wapi sioni hoja hapa zaidi ya siasa
 
Binafsi nilijaribu kufanya research ili niandike kitabu cha vivutio vya kitalii ambavyo havijawa promoted niliishia kusikia kuna
1.msitu unao ongea same
2.ukirusha jiwe kwenye ziwa chala(kilimanjaro) halitakaa lirudi chini
3.kuna sehemu iringa pakuvuka ukijaribu kuvuka panapanuka na unazama
4.kaburi ambalo umeme haupiti iringa
kama unajua vingine na maajabu mengine ndani ya nchi yetu pendwa endela kuvitupia..
 
Akili ndogo kuongoza akili kubwa...
 
Alafu nimeona sehem ameandika kwamba alifanya research ili aweze kuandika kitabu.
Sasa sijui hata hicho kitabu angekiandikaje kwa style yake hiyo
Mkuu ushimen kama umewahi kusoma kitabu hata kimoja utajua kuwa kitabu hakichapishi bila editing tena zaidi ya moja na watu tofauti na mwandishi.
 
Stori za mapango ya amboni kwamba ukipotea haurudi
Pia kuna nyoka ana madini kwenye mlima fulani
Viko vingi sna
 
maisha ya watanzania tu ni vivutio vya utalii,mshahara laki 2 mtot anasoma internatinal school
 
Namba moja nimewahu sikia, wanasema ni msitu wa shengena.
 
Kuna story pia kuhusu bwawa la nyumba ya mungu kuwa kuna joka kubwa ndo latoa yale maji.
 
Kuwepo kwa Kura ya "Siriwazi" kwa mara ya kwanza Duniani ni kivutio pia
 
Kuna mtu ana jipu kubwa sana mwilini mwake lakini la kwake hafanyi mpango wa kulitumbua anatumbua madogo ya wenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…