Viwango vya mishahara kwa walimu: Ualimu ni mateso

Alafu kwa mshahara uwo mtu
Anasomesha watoto Private school
Anamiliki gar
Wiki end anataka atoke out
Anamiliki Simu
Anamaitaji ya nyumbani
Anamkopo bank
Anamfanyakazi wa ndani
Anamichango ya harusi misiba na vikindi
Nk.

Kwa mwendo huu Wabongo hatuwezi fanikiwa ebu tujifunze kuishi kulingana na vipato vyetu iyo mishahara ni mikubwa sana endapo utaishi kulingana na kipato chako ila ukifake maisha kama watanzania wengi tulivyozoea kufake life iyo pesa utaiona ndogo
 
Sijaandika kwa dharau, ila Walimu wanajiliza liza bila sababu mpaka wanakera.

Kuna kada wakikuonesha mishahara yao mpaka unawahurumia, lakino hawalalamiki kama walimu.

Kuna watumishi wa mahakama tena wana Diploma kabisa lakini wanalipwa TGS B.
Diploma Ni TGS C, hao watumishi wa mahakama Wana hela magumashi nyingi Sana buku 5,10,15 za kutafuta mafaili wanazipiga Sana.
 
For sure hakuna mtumishi wa serikali anayetegemea mshahara tu anaeishi vizuri kumzidi mwalimu
 
Hakuna nurse anayeanza na huu mshahara,ww utakua unaongelea wahudumu wa afya ambao wanasoma certificate ya mwaka mmoja ndo wana take home laki 2 na 80 hvi ila basic laki 3+
Hakuna mtumishi wa Afya wa ngazi ya cheti mwenye mshahara chini ya Tsh 432,000. Take home Tsh 380,000 ( bila Makato ya chama Cha wafanyakazi, au Tsh 370,000 Kama yakiwepo).
 
Kuwa mwalimu wa vitoto vidogo mbona rahisi tu. Kama una wito anzisha kituo cha Chekechea hapo mtaani kwako hukosi wateja
 
Mwingine huyu hapa analia Lia πŸ‘‡



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…