Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Hata wakati ule masharti ya 1/3 yalikuwepo kama kawaida.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti hutakiwi kulalamika popote. Ila nadhani kwa sasa hivi haiwezekani hii
acha uongoHapo mwalimu anazidiwa kidogo na kada za Afya na Engineering.
Lakini taaluma nyingine zote kama Acccountancy, sociology, Mchumi, Maafisa Maendeleo, Kilimo, HR, Afisa Utumishi, WEO/VEO, sheria wote kwa walimu wanasubiri.
Mishahara ya walimu siyo midogo.
Walimu wanachojua ni kujiliza liza kama mbweha tu.
Wewe sema ukweli kama unao.acha uongo
Naona unahama tena mkuu. Kuna kada umetaja hapo juu na ukasema kwa mwalimu hazioni ndani. Sasa Mimi nimekueleza wapo wanaotumia TJS na wanaanza na Tsh.961000/= je hapo mwalimu amewazidi! Swala la njaa limetoka wapi mkuu wangu!TJS ni scale za serikali ??
Mimi ninachojua TJS ni scale za Mahakama na wengi ni njaa tu.
Kada gani kijana. Mbona unakuwa kama taahira.Naona unahama tena mkuu. Kuna kada umetaja hapo juu na ukasema kwa mwalimu hazioni ndani. Sasa Mimi nimekueleza wapo wanaotumia TJS na wanaanza na Tsh.961000/= je hapo mwalimu amewazidi! Swala la njaa limetoka wapi mkuu wangu!
Shukrani mkuu.Kada gani kijana. Mbona unakuwa kama taahira.
Sema ni kada ipi?
Mkuu nakubaliana nawewe kwa asilimia 100, Mimi ni mwalimu nimejaribu kufuatilia viwango vya mishahara kwa kada tofauti katika nchi yetu, ukiangalia kwa watumishi wa umma ,mwalimu anaweza shika namba tatu kwa kuwa na kiwango kikubwa Cha mshahara.Hapo mwalimu anazidiwa kidogo na kada za Afya na Engineering.
Lakini taaluma nyingine zote kama Acccountancy, sociology, Mchumi, Maafisa Maendeleo, Kilimo, HR, Afisa Utumishi, WEO/VEO, sheria wote kwa walimu wanasubiri.
Mishahara ya walimu siyo midogo.
Walimu wanachojua ni kujiliza liza kama mbweha tu.
Huu msemo wa pesa haitoshi sikubaliani nao kabisa ni Tamaa tu.Pesa huwa haitoshi hata wakapewa bilion bila akili sawa na bureView attachment 2020394
Iko chini sana najiuliza wazazi wetu waliweza Vipi kutulisha na kutusomesha au kuna posho nyingine walikuwa wanapata?Viwango Vya Mshahara Wa Walimu 2021/2022 | Teachers Salary Scale Range
New Government Salary Scales: Approved
B1 = Basic 419,000
TGTS B1 = 419,000/- and TGTS C1 = 530,000/- TGTS D1 = 716,000/- and TGTS E1 = 940,000/- TGTS F1 = 1,235,000/- and TGTS G1 = 1,600,000/- TGTS H1 = 2,091,000/- and TGTS I = 2,810,000/-
C1 = Basic 530,000
Cwt = 8,390. Pension = 20,950. Income = 46,090. Insur = 12,570 Take home = 331,000
D1= Basic 716,000
Cwt = 10,600. Pension = 26,500. Income = 58,300. Insurance = 15,900 Take home = 418,700
E1 = Basic 940,000
Cwt = 14,320. Pension = 35,800. Income = 78,760. Insurance = 21,400 Take home = 565,640
F1 = Basic 1,235,000
Cwt = 18,800. Pension = 47,000. Income = 103,400. Insurance = 28,200 Take home = 742,600
Kazi ni kwako ndugu mwalimu
Cwt = 24,700. Pension = 61,750. Income = 135,850. Insurance = 37,050 Take home = 975,650.
Ualimu ni kazi sana,kikipato sio poa,unavyoongea na kugeneralize mambo ya walimu sio sawa. Usigeneralize walimu wapo taNzania nzima, kunasehemu ndani vijijini ambako hata wewe huwezi ishi na hakuna fursa.Hiyo faida hata mwalimu akitaka kyingiza anaingiza tu.
Ni suala ka akili tu. Kuwa mtumishi haiana maana kwamba umefunhwa mikono usifanye mishe ya pembeni.
Halafu mtoto awe hanunui vsheti, Kila siku bakora.Tuition, Kuuza Vibabu, Vicoba, Ice cream
Ndo maana wakike ni warahisi.Hujatoa kodi ya nyumba na usafiri wa kila siku kwenda kazini.
Pia wekeni na wa mwenyekiti aliyeko jela.Tuwekee na ya wabunge
Upande wa afya Dr anakuandika dawa dirishani unaambiwa hazipo hata Panadol!Hata Kilimo ni hivyo hivyo,sema Kilimo unakuwa na muda mwingi wa kufanya ishu zako.Afya sijui mambo yakoje.
Kazi ipi ni rahisi na yenye Malipo mazuri ?Ualimu ni kazi sana,kikipato sio poa,unavyoongea na kugeneralize mambo ya walimu sio sawa. Usigeneralize walimu wapo taNzania nzima, kunasehemu ndani vijijini ambako hata wewe huwezi ishi na hakuna fursa.
Haa Atapata Tabu Sana Kipigo Chake Ni Cha Mbwa Ko~KoHalafu mtoto awe hanunui vsheti, Kila siku bakora.