Hao serikali ya mtaa nani kawapa mamlaka ya kupanga bei?Hapana hiyo niliyoiweka ni bei ya dharura mimi ni mmiliki siyo dalali. Eneo lile bei halisi 20 kwa 20 inaanzia 3m. Hata serikali ya mtaa wanatulaumu tunavyouza 20 kwa 20 2m wanaona tunawanyima mapato kwasababu wenyewe ndio wanasimamia na kuratibu mauziano. Na sisi tuna dharura
Hao serikali ya mtaa nani kawapa mamlaka ya kupanga bei?
Basi wauzieni hao serikali ya mtaa.
Umevipima au unakata mwenyewe kwa miguu?
Zama za JK walikuwa serikali za mitaa wanalazimisha iwe 10% ya bei ya kiwanja, ila kwa sasa hivi hali zao ni ngumu na huwa wapo tayari kuchukua pesa yoyote...Huo ndio utaratibu uliopo ukinunua eneo kuna percent unatakiwa kulipa serikali ya mtaa mnunuzi na muuzaji sasa ukiuza bei ya chini wanaona kama mnapunguza mapato yao
Lugha tu za kibiashara hizo...serikali za mitaa hawawezi kuingilia bei aliyopanga mwenye kiwanja.Hao serikali ya mtaa nani kawapa mamlaka ya kupanga bei?
Basi wauzieni hao serikali ya mtaa.
Lugha tu za kibiashara hizo...serikali za mitaa hawawezi kuingilia bei aliyopanga mwenye kiwanja.
Zama za JK walikuwa serikali za mitaa wanalazimisha iwe 10% ya bei ya kiwanja, ila kwa sasa hivi hali zao ni ngumu na huwa wapo tayari kuchukua pesa yoyote...waweza nunua kiwanja milioni 6 kisha wao serikali za mitaa mkawachangia elfu 80 tu (yaani muuzaji 40k, na mnunuzi 40k) badala ya laki 6 (10%). Hayo mambo ya 10% hayapo siku hizi...kuda da deki!
Dakika kumi kweli? [emoji23][emoji23][emoji23]
Karibuni wateja maeneo yameshasafishwa yako safi kabisaWanaotaka kwenda kuona eneo hili kesho Jumapili nitakuwepo huko kuanzia saa nne asubuhi tayari pameshasafishwa. Kuona ni bure karibuni sana. Kwa maelekezo zaidi tuwasiliane kwa namba 0755401051