mtzedi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 5,983
- 6,171
Hao serikali ya mtaa nani kawapa mamlaka ya kupanga bei?Hapana hiyo niliyoiweka ni bei ya dharura mimi ni mmiliki siyo dalali. Eneo lile bei halisi 20 kwa 20 inaanzia 3m. Hata serikali ya mtaa wanatulaumu tunavyouza 20 kwa 20 2m wanaona tunawanyima mapato kwasababu wenyewe ndio wanasimamia na kuratibu mauziano. Na sisi tuna dharura
Basi wauzieni hao serikali ya mtaa.