Ukisem umepunguz bei, ni kiasi gan tofauti na mwanzon??Bado vipo na bei imepunguzwa karibuni. Hii bei hutakuja kuipata mahali
Eneo bado kubwaKaribu ujipatie viwanja kwa bei ya punguzo kubwa. Eneo liko Kibaha Misugusugu 2km kutoka Morogoro road. Umeme na maji vipo karibu.
20x20 bei 1.8m
20×25 bei 2.3m
25x25 bei 2.8m
Eneo linafaa kwa kufuga ama makazi. Ukitaka heka ama nusu heka bei maelewano. Hakuna udalali ni mali yangu nauza kwa dharura.
Kwa maelezo zaidi piga 0755401051
Yani unampangia mtu bei ya kuuza mali yake?MKUU unaharibu biashara. mbona hapa miembe saba tunauza 20 kwa 20 kwa milioni 4
Watu wanauza sana assets zao siku hizi. Dharura, dharura, dharura! Kweli maisha magumu sana. Bwana yule shikamoo. Tunaishi kama mashetani.Karibu ujipatie viwanja kwa bei ya punguzo kubwa. Eneo liko Kibaha Misugusugu 2km kutoka Morogoro road. Umeme na maji vipo karibu.
20x20 bei 1.8m
20×25 bei 2.3m
25x25 bei 2.8m
Eneo linafaa kwa kufuga ama makazi. Ukitaka heka ama nusu heka bei maelewano. Hakuna udalali ni mali yangu nauza kwa dharura.
Kwa maelezo zaidi piga 0755401051
Ndo hivyo mkuu shida haina adabu na wala haipigi hodi!Watu wanauza sana assets zao siku hizi. Dharura, dharura, dharura! Kweli maisha magumu sana. Bwana yule shikamoo. Tunaishi kama mashetani.