felakuti
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 659
- 1,207
Sometimes unapokuwa na hela hutamani kua sehemu ambayo sawa kuna wadada ila ukiwaangalia tu anakuja mezani kwako ama sehemu ulipo anaanza kukuambia twende tukapumzike ama naomba ninunulie bia, hapo hata personal hygiene yake ni mbaya..
Napenda sehemu ambazo za kistaarabu kuna pisi kali sawa ila descent na hawana njaa njaa yan mtu unainjoi hata kampani yake ..
Hivi wakulungwa wa sehem za burudan Dar , hizi sehemu zipo ? Kama zipo tuelekzane watu tunaopenda classic tufike tupate burudani...kuna nliyoambiwa tiffany & diamond
Hizi sehemu zingine za kihuni na biashara za kihuni za kununua sex tena kwa wahuni wengine wanavuta sigara wengine wanakula ugoro wananuka mijasho wengine hatuwezi