Viwanja vya kistaarabu vya kula bata na wadada classic

Viwanja vya kistaarabu vya kula bata na wadada classic

Hapo huwa kuna totoz kweli ? Huwa nahisi totoz za kitambaa ndio zinaenda hapo kuwinda dk za mwanzo wa mchezo, then zinajikataaa badae.. kama anataka raha asogee Las Vegas Casinos pale 🚨
Mwanangu wewe umenisoma kabisa ..ngoja ntakucheki ...yan kuna sehem ukiwepo unaskia raha tu hata unainjoi kampan..warembo classic na hawana NJAAA...
 
Dalili za kushika hela juzi hizi.

Anyway ingia havoc, wavuvi, and the likes kama unajiweza
Mkuu sio kwa ubaya ila ukipata pesa tumia ,,unaweza kubania gafla unateleza unakita kichwa kwenye jiwe kwisha habar yako, waliobaki wanachukua mali zako wanaenda kutumbua..
 
Kwaio mkuu uhurumoja unaniambia hizo sehem ulizonitajia nikifika sitaombwa bia na kuambiwa matatizo ya ukoo mzima ..na zaid wanajipenda yan wananukia hata bia zao ni flying fish sio safari...kama pombe kali basi vodka
Hutaombwa kabisa ila mashaka yangu ni unaweza kuomba mwenyewe utoe offer maana majaribu ni mengi sana
Anyway play safe the voice iko tabata kinyerezi heart choice iko Pugu tunes n tonic goms(hapa unaweza pata wa kukuomba ila haforce)
 
Nenda sehemu yeyote tuu mkuu uwe huru na mazingira yako ila ufuate kilicho kupeleka tuu.. Kama ni mpira, pombe au muziki.
 
Kama upo Twitter search hii thread imeainisha sehemu nzuri. Maana wengine wakisikia viwanja classic wanafikiria lounge na sehemu za kula bear tu.. Ila Kwa dates za classic ladies yaweza kuwa coffee dates na uzungu uzungu mwingi.. All the best
IMG_20250111_235256.jpg
 
Mwanangu wewe umenisoma kabisa ..ngoja ntakucheki ...yan kuna sehem ukiwepo unaskia raha tu hata unainjoi kampan..warembo classic na hawana NJAAA...
Sogea hapo hutojutia 😜😜.. huko kwingine matoto yale yale ya uswazi yanasogea mida flani, soko likiwa gumu yanarudi yalipotoka.. unakuta manzi kitambaa inajiuza elfu 30, ukiikuta huko Amell inajiuza laki mbili.. kama hujui unapigwaaa 😅😅😅
 
Acha ushamba sikuhizi viwanja vizuri na descent vipo vingi tu hata randomly tu hadi mitaani loyally unakutana na place's nzuri tu watu wamewekeza.
Hadi mbezi huko Kimara sio kama zamani sijui uende masaki huko,oysterbay sijui posts.
Nakumbuka zamani ilikuwa weekend lazima utimbe slip way.
Kama dsm wewe unakaa pande zipi utajiwe places decent hukohuko .
Siku hizi dsm naona imechangamka kuhusu maeneo ya kutulia.
Unakuta kisehemu wameandika ni liquor store sasa ingia ndani unakutana na vitu vingine kabisa
 
Hapo huwa kuna totoz kweli ? Huwa nahisi totoz za kitambaa ndio zinaenda hapo kuwinda dk za mwanzo wa mchezo, then zinajikataaa badae.. kama anataka raha asogee Las Vegas Casinos pale 🚨
Kuhusu totoz honestly sijui😄nilishawahi kwenda hapo two or three times na nilikutana na watu classic japo wawindaji wa kawaida kawaida pia huwa hawakosi.

Huko ndo kuna totoz eenh?
 
Kuhusu totoz honestly sijui😄nilishawahi kwenda hapo two or three times na nilikutana na watu classic japo wawindaji wa kawaida kawaida pia huwa hawakosi.

Huko ndo kuna totoz eenh?
Totoz zipogo tu, sema zinacheza na saikolojia ya mazingira. Ukitaka kujua zinafanya biashara nenda dakika za majeruhi, huwa zinasaka goal kwa nguvu sana hata kwa kulazimisha ikibidi . Ndio maana wanunuaji wanaamkiaga alfajiri kuchukua mipira iliyojifia
 
Haya mleta uzi ngoja akapambane.
 
Poa Felakuti ila viwanja viko wazima sana kwa unavyotaka wewe ni samaki samaki, warehouse,element,the voice ,heart choice n.k
Kama ni mpita njia kama alivyoeleza huko kutamfa aweze safisha tongotongo.
Kwa sasahivi mimi viwanja hivyo kwenda labda Meeting . Yaani kuwe na ishu tena ya maana washkaji wawepo hapo wanitafute waniambie wapo hizo places wananiomba niende tukaongee ishu ndio naenda.
Ila mimi mwenyewe eti nijiamulie mwenyewe kabisa eti niende kidimbwi sijui wavuvi, rooftop samakisamaki, kitambaa cheupe haipo kabisa
 
Back
Top Bottom