Viwanja vya kistaarabu vya kula bata na wadada classic

Viwanja vya kistaarabu vya kula bata na wadada classic

Arusha weekend iliyopita nilikua The Picnic ni sehemu ya kawaida ila nilipenda ustaarabu wa pale mziki, wahudumu, vinywaji mpaka mbege ipo. Sijapata nafasi ya kuzunguka sehemu nyingine.
 
Nikiwa na stress, nita kushitua twende madam.
Maana kwa Akili zangu naweza fika Nika ondoka🤣😆.

Note: sija wahi tumia kilevi chochote au kuvuta sigara MrsPablo1
sawa sawa basi maeneo kama hayo ndo yanakufaa maana yana utulivu kiasi chake, unaweza kunywa mocktail,milkshake, cappuccino,Non-Alcoholic Spritzers, Sparkling Water with Lemon or Mint n.k
 
Back
Top Bottom