Viwanja vya kistaarabu vya kula bata na wadada classic

Viwanja vya kistaarabu vya kula bata na wadada classic

😁😁😁 ahh njaa kali hizo brother, Ila Mimi binafsi sehemu hizo nyingi nimeenda sababu ya clients niliokuwa nakutana nao kipindi nipo kwenye industry flani. Wao meeting sio kwa ofisi, ni kwenye restaurants na coffee shops. Na gharama zake huwa kawaida tu, 6k - 10k
siku niki jisikia kwenda, Nita kushitua tuka zurure kaka.
 
Nina rafiki yangu kanizidi umri karibu miaka kumi. anahangaika huyo balaa. Lakini ni wale walivuka stage, kasoma chuo anakaa kwao kumaliza tu kaoa! Kwahio hajaonja yale maisha ya kuwa mwenyewe na una kipato fulani ile ya 24-30s
Kwani ukivuka hiyo stage lazima uirudie? Au ni raia wamejijengea hivyo vichwani mwao ili kuhalalisha tabia Fulani ?
 
After Bahari beach hotel pazuri na dj anajua sana na usiende na pesa ya mawazo
After bahari beach kama unaelekea rudys farm?
Hela ya mawazo kwani hapo sparkiling water wanauzaje na chips yai?
Kuna kiingilio?
 
After bahari beach kama unaelekea rudys farm?
Hela ya mawazo kwani hapo sparkiling water wanauzaje na chips yai?
Kuna kiingilio?
Yes ukiandika tuu kwa map bara beach unafika, hakuna kiingilio ila ikifika jioni sehemu zile nzuri nzuri za kukaa zinakuwa full booked, kwenye gharama sio kiivo bhana ukiwa na laki tatu watu wawili inatosha kabisa chakula na pombee.. mie ni mpenzi wa cocktail sasa hapo cocktail zao ni mbaya sana so huwa napenda kuchill hapo mchana kwasasabu kuna sehemu ya watoto kucheza hiyo ina kiingilio efu 10, then jioni nitahamia cape town fish market kuimalizia siku na cocktail zao.
 
Shida yangu mimi sio pesa, ila kuitoa hiyo pesa mfukoni kuilipa😆.

Sema cap town fish market, nasikia ni pazuri pia.
 
Hizi sehemu zingine za kihuni na biashara za kihuni za kununua sex tena kwa wahuni wengine wanavuta sigara wengine wanakula ugoro wananuka mijasho wengine hatuwezi

Ulishawahi kusex na dem anayevuta fegi au ugoro? Aisee wale viumbe wanajua kunyanduana. Jaribu utakuja kunishukuru
 
Back
Top Bottom