Viwanja vya kistaarabu vya kula bata na wadada classic

Viwanja vya kistaarabu vya kula bata na wadada classic

Mimi mara nyingi saa 2 usiku natoka zangu na pensi yangu chini raba juu tisheti na kofia watu wanaeza zani naenda sehemu kuchil kumbe nakua road natembea narudi Home saa4 .
Nakuwa so relax sana na kesho naamka vizuri, ukiamkia hangovers inakuwa shidashida kidogo
Same thing hapa mkuu
 
felakuti we njoo tuu dar then twenzetu tukale bata bara beach 😂
IMG_5883.jpeg
 
Ohoooo unaona sasa..sasa sisi wa mikoan tukija kichwa kichwa si tunakula za uso ?
Mkuu kuna uzi nmekuta humu nisaidie ku certify hizo sehem 😂

*****
Wajuzi naomba ntililike na uzi
Kuna zile baa za mfano kitambaa juliana .wavuvi sijui elements hizo mengi ni mashindikanaa lakini kuna chimbo za kijanja za kula pisi mq banker .manesi .watumishinwa uma naomba ntaje zsngu
The hood
Hii ipo sinza mori ukienda uliza ka spiri t and wine shop haka asee kuna midada imepaki ndinga zao kali ina makalio balaa na videmu classic noma mida mizuri kuanzia saa 2 usiku
Tiriple 9
Haka kapo nyuma ya lion hotel hapa kuna vyuma unaweza changanyikiwa japo chunga kuna demu anaitwa mina ananywele kama msomari ana matako mwembamba ni jikedume ashawala sana jicho walevi
Dance club
Hapa ni survey asee nenda weekend saa 6 usiku wanachuo wamevaa uchi uwe tu na viingeleza vingi ila pia pana mashoga sana hawa ukimpiga bia mbili onesha demu yeyote umemla
Tiffany hotel
Hii iko posta bia ni elfu 5 kaka hapo mademu wa grade 1 tanzania utawakuta usipaogope ww ingia minya ghorofa ya 9 hutajuta hapo hadi mawaziri wapo
Mizizi pub
Hii iko masaki hapa pisi nyingi chotara au wamekaa mbele kiujumla ni watoto wa kishua wa masaki na mikocheni hapa ndo niko namalizia bia hapa de france nielekee hapo nkaboreshe kiingereza changu
Duuuh
 
kwani akija na mgeni wake bei ndo zitashuka au siku hizi kuna uwinga mpaka kwenye viwanja vya starehe 😂😂
Akija peke ake, jina Lina weza badilika kutoka mgeni hadi.....😆.

Uta sikia... nina ndoto ya kwenda sehemu fulani pazuri; yaani una mgeuza tool ya kukamilisha majaribio yako😂
 
Jobless mwenzetu unakwama wapi, yani huna hata ka appointment ka coffee shop na kubadili accent kama wazungu wa London 😁
Coffee elfu 10, hawa wa huku hawana uzungu.

dating ni opportunity ya kujuana, wao ni chance ya kula ambacho hawaja wahi😆🤣
 
Totoz zipogo tu, sema zinacheza na saikolojia ya mazingira. Ukitaka kujua zinafanya biashara nenda dakika za majeruhi, huwa zinasaka goal kwa nguvu sana hata kwa kulazimisha ikibidi . Ndio maana wanunuaji wanaamkiaga alfajiri kuchukua mipira iliyojifia
Kudadadeki bonge la code
 
Coffee elfu 10, hawa wa huku hawana uzungu.

dating ni opportunity ya kujuana, wao ni chance ya kula ambacho hawaja wahi😆🤣
😁😁😁 ahh njaa kali hizo brother, Ila Mimi binafsi sehemu hizo nyingi nimeenda sababu ya clients niliokuwa nakutana nao kipindi nipo kwenye industry flani. Wao meeting sio kwa ofisi, ni kwenye restaurants na coffee shops. Na gharama zake huwa kawaida tu, 6k - 10k
 
Back
Top Bottom